Maisha baada ya kifo


Unaweza kuelezea maana ya KUAMUA ?


Mk54
 
Roho itakuwa wapi
sasa hapo kwenye roho kwasababu najua mwili utazikwa na utaoza vip kuhusu roho itakuwa wap
Ukisha sema wapi teyari unamaanisha occupation of space, kushika nafasi fulani mahali fulani kwa wakati husika. Muda na Nafasi ni dimension mbili katika tambuzi ya akili yako, uko wapi? ni lini? au saa ngapi? zinaitwa tambuzi za kimaumbile au kimwili yaani forms and objects. Ukifa hizi tambuzi zinatoweka unabaki kuwa Roho na hii ina exist beyond forms, objects and formlessness (thoughts) ni state of conciousness, ni hali ya kuwa (To be) mfano wa kuwa ni kama unakuwa ndotoni, ni sub conciousness, upo mwilini but is higher level of conciousness ambayo akili ina play role kubwa pia, lakini pia unakuwa kwenye deep sleep haifikiwa na akili. Ziko level kama saba zinazoweza fikiwa na binadamu kama astra, causer .n.k. Ukiondoa uwepo wa space na muda kwenye kujitambua unakuwa at the moment where it hold the beginning and the End of the time and space. Ni sawa na kuwa everywhere any time. Na huko ndio roho yako imekuwaga na haita achakuwaga mpaka milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar wadau !!!

Nchi ndio kwanza maji yapo jikon tunasubiria mama ayaipue watu wasafoshwe hii ni style mpya kabisa achana na ile ya kupiga pasi nchi inyooke maana dobi ashakwenda

Ok tuache bra bra swali langu kuu ni langu kuu ni wapi alipo jiwe sasa je anaongoza malaika km lile ombi lake limepokelewa au ndio kuna kesi uko alipo kwa kujikweza akati alie juu anaoma mpaka anachofikiri najua apo majibiu mengi lkn kwangu mm naamin hamna maoshaa baada ya kifo

Jiwe kwa sasa ni mchanga
 
Mwili unafufuliwa tena rebirth sijui reencanation sijui
 
Ukifa ndo habari yako imeishia hapo ni mwendo wa kuliwa kimasihara na mchwa huko mavumbini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…