Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Wapj hukokila mtu baada ya kufa anaenda alipotokea kabla hajazaliwa!
Mkuu samahani naweza kuwa Nje ya mada ila nimeona nikuambie kuwa Ile mada yako ya "NIULIZE CHOCHOTE KUHUSU CCM"Kuna watu wanakufa wakiwa matajiri , viongozi wakubwa , maarufu na wanakuwa gumzo kila kila kona ya nchi /dunia. Jamii makundi kwa makundi hupaza sauti za kusikitika, kusononeka kila wakati zikieleza mazuri mengi ambayo mrefu amewahi kufanya au kuwa na mchango fulani mkubwa.
Kuna binadamu wengine wanakufa kifo cha kawaida, hakuna mstuko mkubwa , hawasemwisemwi , hawana reference yoyote wa mambo ambayo wameyafanya kwa ukubwa fulani at national /international levels.
Kwa hisia zako kama binadamu ,tofauti za maisha ya hawa watu baada ya kifo zikoje ?
Nderemo,huzuni na ushuhuda wa walimwengu utamfanya atalazwe mahala pema peponi kweli hata kama alikuwa na maovu yake?
Tujadili.
Sent using Jamii Forums mobile app
BAADA YA KUFA UTAZIKWA KWENYE KABURI, HAPO NDIO MAISHA YAKO YATAKAPOOANZA, MPAKA SIKU YA MWISHO WA DUNIA, WATAKUFA WOTE WALIOBAKI, IKISHA WATAFUFULIWA WOOTE WALIOKUFA TOKA KUANZA KWA DUNIA, HAPO SASA NDIO HESABU ITAKAPOKUWA.
MWENYE KUTENDA MEMA ATAINGIZWA KWENYE PEPO, NA MWENYE KUTENDA MAOVU ATAINGIZWA KWENYE MOTO.
KUNA AMBAO HAWATAKAA MILELE MOTONI, WATATOKA BAADAE NA KWENDA KUISHI PEPONI.
ILA KUNA WENGINE WATAISHI MILELE MOTONI.
ANAINGIA KWENYE PEPO NDIO KESHAINGIA HATOKI TENA.
HIYO KWA UFUPI.
KWA FAIDA
JITAHIDI SANA KUISHI DUNIANI KWA WEMA NA IHSAAN. NA KUFUATA YALE YOTE YALIOAMRISHWA KUFUATA NA KUASHA YOTE YALIOKATAZWA.
Kumbe teyar unajua nn kitatokea?? Basi hata siku yako ya kufa utakuwa unaijua aisee, you are good
BarzakhNdugu kama kichwa kilivo hapo juu mm naitwa Eliya Madete naomba kuuliza baada ya kufa kuna sehemu tunaenda au tunapotea tu