bwaiseekwetu
Senior Member
- May 29, 2022
- 174
- 472
Alizeti,ni MAJAMBAZI haya Machina aisee,yaani unakesha usiku kucha kazini mshahara laki 3 na Degree yangu kichwani!!!ngoja badae nitaambatanisha Mkataba hapa ninaoambiwa nisaini na wananiambia kama sitaki kusaini niondoke,hakika Tanzania tumebaki yatima,tunateswa ndani ya Nchi yetu wenyeweMnatumia material Gani kuzalisha hayo mafuta maana hao jamaa hawachelewi hata kusafisha oil chafu kua mafuta ya kupikia
Kama hauna mchongo mwingine tupa hiyo Degree kando jishikize hapo kwa mchona huku ukitafita mishe nyingine ya kufanyaAlizeti,ni MAJAMBAZI haya Machina aisee,yaani unakesha usiku kucha kazini mshahara laki 3 na Degree yangu kichwani!!!ngoja badae nitaambatanisha Mkataba hapa ninaoambiwa nisaini na wananiambia kama sitaki kusaini niondoke,hakika Tanzania tumebaki yatima,tunateswa ndani ya Nchi yetu wenyewe
Poleni,ukiamua kufanya kazi kwa mchina lazima uwe umejipanga,they mean business,hiyo ni spirit ambayo wamekuzwa nayo,sio huku tu hata kwao wako hivyo,kwenye kutafuta hawa jamaa hawana masihara,sasa huku kwetu wanatumia tu advantage ya serikali zetu kutokua makini kutengenza super profit.Pale Dar kuna kipindi waliwahi kukutwa wamepanga chumba kimoja wanakaa watu 6 mpaka 8,unaweza kuona hata wenyewe hawajihurumii,lakini sio kwamba hakuna wanachopata wanapata hela ya maana tu...Hii ni Kampuni ya Wachina ipo Veyula Dodoma na inazalisha Mafuta ya Kupikia.Hapa ni Jehanamu kwa kweli,yaani Wachina ni zaidi ya MAJAMBAZI wanatufanyisha kazi usiku kucha leo bila aibu wanatulazimisha kutusainisha Mkataba kwa malipo ya Laki Tatu kwa mwezi.Hivi Serikali ipo wapi??mbona hizi kero mnaambiwa kila siku??Kuna Wachina wanaishi hapa hawana hata Working Permit wanaishi kwa kujificha kama kunguru,maofisa Uhamiaji wakija wanaitwa chemba wanapewa kitu kidogo wanaondoka,maofisa kutoka OSHA na Idara ya Kazi nao wakija nao wanapewa kitu kidogo wanaondoka.Hii nchi imeoza rushwa mpaka matakoni
Wewe una characters za mwanamke. Kufanya kibarua masaa 12 ni kawaida sana. nakumbuka nilipokuwa sina ajira serikalini, nilifanya kazi mgodini. shift yangu nilikuwa nazama saa mbili usiku natoka kesho yake saa tisa alasiri[ yaani ni Masaa 17, Mita 220 chini ya ardhini] bila kula na kazi ni ngumu sana na risk ya kifo ni zaidi ya 80%. Acha usenge kabisa chalii. Mungu anakupa kazi nzuri wewe unakuja kubwabwaja mitandaoni! Haya, Serikali ikifunga hicho kiwanda una alternative ya kazi na degree yako ya takataka?saa 12 jioni mpaka saa 12 asubuhi,muda wa kupumzika ni dakika 30 kula,sasa ole wako uonekana umesimama hufanyi kazi utatukanwa matusi yote,yaani tumekuwa kama Manamba wale enzi za utumwa,ngoja nitaweka Mkataba uone hapa
Wewe una characters za mwanamke. Kufanya kibarua masaa 12 ni kawaida sana. nakumbuka nilipokuwa sina ajira serikalini, nilifanya kazi mgodini. shift yangu nilikuwa nazama saa mbili usiku natoka kesho yake saa tisa alasiri[ yaani ni Masaa 17, Mita 220 chini ya ardhini] bila kula na kazi ni ngumu sana na risk ya kifo ni zaidi ya 80%. Acha usenge kabisa chalii. Mungu anakupa kazi nzuri wewe unakuja kubwabwaja mitandaoni! Haya, Serikali ikifunga hicho kiwanda una alternative ya kazi na degree yako ya takataka?