Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
Tatizo sio team anachochea ugomvi wa aunt na wema na kujifanya kumtusi mama ubaya mwisho wa cku wamepatana kaambulia vichambo
Insta ni kijiwe kingine kilichokusanya wendawazimu wengi ni wachache wapo pale kwa networking.
Hata mimi nilivomuona. Mana walikua na Anti kwenye baby shower badala awashauri wapatane. Mai ndo mbovu kuliko hao alio Watusi kwa mtu mzima vile.
Hahahahaaaa hebu tuwekee screen shot ya hilo tamko.
Mmmh!!!!
Unaguna nini? Mwenzio nasubiri nipate hiyo screen shot ya maimatha anavyodai kua alimuuzia dawa wema ya kukuza makalio.
Mjini hapa kuna mambo sana.
Unaguna nini? Mwenzio nasubiri nipate hiyo screen shot ya maimatha anavyodai kua alimuuzia dawa wema ya kukuza makalio.
Mjini hapa kuna mambo sana.
Ujue hizi haraka wakati mwingine zinaponza nifah, ujue sikuona hiyo m kwenye hilo neno la mwisho ndo maana nilikuandikia vile kuleee khaaa!! hata nilivyokuja kuguna bila sijagundua kosa langu
Sasa hivi unavyoniuliza unaguna nini ndo eti nimerudi kusoma vizuri, khaaaa!! sorry mai dia
Shogaa inamana bado hujaona
Hyo apo
Hahahahahaa sasa hivi ndio nimejua ulikua unataka kumaanisha nini!
Nimejikuta nacheka sana baada ya kurudia ile post yangu ya mwanzo.
Mhhhhh! Kumbe ni kweli wema alitumia mchina? Maajabu haya.
Ngoja aoze ndio atatia akili.
hao mashabiki wa wema wamekosa kazi ya kufanya isitoshe huyo wema hamfahamu ata mmoja hapo.east vijana wenzangu wanapoteza muda kwa kitu cha kijinga
Umeona eeh! we acha kabisa mi mwenyewe nilicheka sana mwanzoni nilipokusoma (nikiwa na ile maana yangu kichwani) halafu nikajifanya kupita kimya kimya bila kugonga like wala kukwoti. Na hivi post nyingi zilikuwa zinaongelea hiyo kitu, ndo kabisa sikuwa na shaka na kile nilichokwisha weka kichwani!!
Sasa ulivyonishangaa naguna nini ndo nikarudi kusoma tena, daah nakuta kitu tofauti kabisa, si ndo nikaishiwa pozi!!!
Kwa haya maneno ya mai na mimi sasa naanza kuamini alitumia mchina, mwanzoni watu walivyosema sema nikawa napuuzia nikidhani labda ni haters wake wanamzushia
Ila nilivyovuta picha yake zamani zile alivyokuwa mwanzo na sasa hivi naona kuna ukweli fulani hivi. Unajua liliumuka ghafla bin vuu!!!
Ujue hata mimi japo simkubali huyu dada lakini hili jambo nilikua sijaliafiki kabisa.Ila hii habari imenipa nguvu ya kuamini.Muuzaji keshasema, tunataka ushahidi gani?
Haya mambo hua yananipa wakati mgumu sana kuamini.Labda sabab sijawahi kusikia kutoka kwa mtumiaji wa hizo mavitu ya kichina.
Wema alisafiri na shabiki kiondozi dogi kwenda mwanza picha zao zino humu jf.
Hahahahahaaa ujue mwanzo ulivyoguna nilishangaa maana sikuona tatizo.Sasa leo nimechekaje? Umejua kunifurahisha maana JF sasa hivi naichukia kutokana na wanavyozingua.
Zipo uzi gani?
Nilipitwa