Maimamu kumsomea Manji Ahla-badri

Subiri, Manji akiwapa futari tu basi wanatulia, wakiumwa njaa wanaanza oooh, kiwanja.

Hebu mwacheni magufuli kwani yeye ndo aliyekigawa kiwanja???

Juhudi za Magufuli kurudisha Kiwanja ndizo zikamfanya aishie kwenye Wizara ya mifugo na samaki. Kama mna madai ya kiwanja nendeni Wizara ya Ardhi, Magufuli hakuhama na documents za kiwanja.
aisee kumbe!
 
Natamani hiki kisomo pia kielekezwe kwa Lipumba, Magdalena Sakaya, Jaji Mutungi na Kapilima pia na spika wa bunge.
Tena hawa wawe wanatembea uchi barabarani. Wasipate raha anayo ipata Manji kupelekwa na gari Segerea na kula harage. Wao wale jalalani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maghufuli waziri wa ardhi? Au hii habari ni ya zamani? Kama sio, tutawachuwaje serious watu wanaofanya kosa kama hili?

Hivi Manji amebatizwa kuwa mkatoliki? Mimi nilidhani mbaya wa waislamu ni mkatoliki na hawezi kuwa muislamu mwenzao! Hiyo serikali wanayoilaumu si hiyo hiyo wanayoisema kuwa inaingilia mno mambo yao? Serikali haiwezi kuzuia watu/vyama/ushirika kufanya maamuzi ya kipuuzi. Wabanane humo humo na kupelekana mahakamani kama wanaona kuna mtu amewadhulumu. Mpaka hapo watakapoweza kujikosoa wenyewe, wajanja wataendelea kuwachezea.

Amandla.........

Alisubiri awe rais ndo amfanyie MAMBO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom