Maimamu kumsomea Manji Ahla-badri

Maimamu kumsomea Manji Ahla-badri

Hiyo Alubadiri(sijui kuandika) naona imefanya kazi
 
Manji aah

Sent from my SM-J100F using JamiiForums mobile app
 
Kwa M/MUNGU miaka elfu sawa na siku moja tu,,,Leo Manji mabalaa yanamuandama kama masihara
 
Hawa waandishi wawili wameshirikiana kutuonyesha kuwa hawako makini, John Magufuli waziri wa ardhi imerudiwa mara kadhaa,na mhariri akapitisha ichapwe! kazi tunayo!!
Hakuna tatizo lolote ktk hii habari, wewe vilevile sio makini kwani ulipaswa pia kuangalia hii habari ni Issue ya tarehe gani (Oct 8,2009)
 
sheikh khalifa..akimshutumu kwa pamoja na waislamu wengine..mh magufuli ajiuzulu baada ya kushindwa kuwarudishia kiwanja chao kwa kuufuta hatimiliki ndugu yusuph manji..
2009 hiyo.

MOLA KAJIBU MAOMBI..WALIKUWA MASWAHIBA LEO MAADUI WAMEGEUKANA..
 
Back
Top Bottom