Maige amwita Nape 'Gamba', Nape amjibu...

Maige amwita Nape 'Gamba', Nape amjibu...

huyu Maige kabla hajapigwa chini Uwaziri(wakati wa vuguvugu la mabadiliko ktk baraza la mawaziri) aliwahi kunukuliwa akisema kuwa yeye ni mtumishi na anaamini katika bwana endapo litatendeka lolote juu yake bac na atendewe kama bwana atakavyoamua!! Lakini baada ya kuukosa uwaziri inaonekana imemuuma sana kila cku ni kupayuka tu...
tulia Maige watumikie wapiga kura wako siasa c lazima uwe Waziri au unaamini kuwa ulizaliwa kuwa Waziri? na hakuna wengine wenye uwezo zaidi ****??
 
Tatizo ni kwamba watu wanakuwa wazalendo baada ya kukosa kazi kama Sumaye!. Sumaye ni kati ya Viongozi wazuri sana sasa msomi n.k lakini ameanza uzalendo baada ya kukosa uraisi!!. Makamba na Magufuli wameanza uzalendo bila kujali madaraka. Kitu kingine huyu jamaa kusema ukweli alikuwa hana uwezo wa ile wizara niliongea naye pale Virginia kwenye diaspora meeting na kwa kijana angetakiwa kujua zaidi ya alivyokuwa.
Hilo la viongozi kuwa wazalendo na watetezi wakishatimuliwa, ninakubaliana nawe 100/100 - kwani watu hawa hawa wakiwa madarakani hulewa madaraka na kuchapa usingizi, hawazindukani hadi siku wanapopigwa teke la masaburi na kutupwa nje.
Kuhusu hiyo nyekundu, kwani hakujua tangu mwanzo kuwa hana uwezo na wizara aliyopewa? Uongozi si sawa na shauku/ashki za kitoto za "nataka hiki, nipe kile, na mimi nataka" wala uongozi si suala la "kujaribu na kukosea" mpaka ufaulu. Kwenye siasa utendaji na mafanikio au kushindwa kwako kunatathminiwa tangu siku ya kwanza hadi ya mwisho, na wananchi na historia vitakuhukumu kwa mafanikio na matendo yako.

Maige is a born loser!
 
Maige unachofanya nisawa na methali isemayo mfa maji haishi kutapatapa,hivi kama kweli wewe ni mkweli ulikuwa waipi kutueleza kuwa Nape ni gamba linaohitaji kuvuliwa ndani ya ccm.Siku zote ulikuwa pamoja na Nape lakini hukuwahi kusema kuwa huyu jamaa ni gamba kwa kuwa mlikuwa pamoja.Lakini leo hii hao jamaa zako wamekuweka pembeni umeanza kulalama,tafadhali sana kijana hatutaki unafiki wako hapa kama kazi ilikushinda usitafute mahali pa kufia unachotakiwa ni kuubeba msalaba wako peke yako hata kama mlikuwa mnakula wote.Mwache huyo kilaza mwingine naye zamu zamu yake itafika na siyo mbali sana.
 
Majibu ya Nape kidogo naona yamekuw makali kupita kiasi hasa kwenye matumizi ya maneno au niseme lugha. Maige anamtega kwa kufanya ionekane kuwa matatizo yote ya CCM yanaletwa na Napa. Badala ya kujibu kama yeye, Nape ange-phrase response yake kuonesha kuwa CCM iko kwenye mkakati wa kuwajibishana. Hii ingem-square Maige vizuri kuliko hii outburst aliyotoa Nape na kutumia maneno kama "nyan'gau"

Hakuna anayebisha kuwa Maige ana matatizo, na Nape alitakiwa kujibu kichama zaidi na sio kibinafsi pamoja na kwamba Maige anataka kumsukumia mzigo yeye. Practice makes perfect.
 
Maige ni mpuuzi, kajua kufungua matawi muda huu kwa kuwa WIZI haupo tena.
Atwambie TWIGA HAI walipelekwa nchi gani badala ya kumsema NAPE NNAUYE,kumbe wizi mtamu ukikurupushwa unakasirikaeeeeeeeeeeee?
Nasikia sasa hivi kaokoka anatukuza kila dakika, MNAFIKI MAIGE
 
Maige anaamini kwamba yeye hakukosea kiasi cha kuondolewa katika nafasi hiyo (Inawezekana ni kweli) Pengine hujuma zote zilizotokea maliasili pamoja na tuhuma zinazomkabili zimetokea kwa sababu ya kuwalinda baadhi ya Vigogo,sasa anaona waliokula ni wengine anayeadhibiwa ni yeye,kutaja wazi hawezi kabaki na machungu moyoni tu.
 
Unajua Maige anaweza akawa na hoja ya msingi kabisa au kunakitu anakijua lakini kwakua hakusema enzi ni waziri kwa maslah ya kulinda meza sasa hiv watu .
hawamuelewi,mi nazani akisikilizwa na akachimbuliwa anamengi,mi najua mbali na ubadhilifu kwa kutumi report ya CAG lakin inaonekana kabisa kunakitu anakijua ambacho huwenda alikitaa na anaamini ndicho chanzo cha kumtoa kwenyd uwazi.Mtakuja kuniambia
Huyu jamaa analilia uwaziri anakumbuka jinsi ambavyo alivyokuwa akisafirisha meno ya tembo kwa njia haramu. Sasa cha kujiuliza alikuwa wapi kusema haya maneno mpaka atolewe uwaziri ndiyo ayaseme? Ila ninachojua kwa saizi anataka apate ukatibu mwenezi ndani ya CCM. Ndiyo maana kaanza kapeni mapema za kumwambia Nape ni gamba.
 
huyu Maige kabla hajapigwa chini Uwaziri(wakati wa vuguvugu la mabadiliko ktk baraza la mawaziri) aliwahi kunukuliwa akisema kuwa yeye ni mtumishi na anaamini katika bwana endapo litatendeka lolote juu yake bac na atendewe kama bwana atakavyoamua!! Lakini baada ya kuukosa uwaziri inaonekana imemuuma sana kila cku ni kupayuka tu...
tulia Maige watumikie wapiga kura wako siasa c lazima uwe Waziri au unaamini kuwa ulizaliwa kuwa Waziri? na hakuna wengine wenye uwezo zaidi ****??
 
mkuu umeenda mbali, shida sio kupanda ndege bali uhalisia wa anayeongelewa. Wanaotetea wanyonge unawajua hata kabla ya kutamka neno moja.

Haya basi bwana,anaetetea wanyonge ni FREEMAN MBOE peke yake,hakuna kama yeye,maana ukimtazama tu usoni utajua kabisa kwamba huyu ndio mtetezi wa wanyonge mashuhuri!
 
Maige anaamini kwamba yeye hakukosea kiasi cha kuondolewa katika nafasi hiyo (Inawezekana ni kweli) Pengine hujuma zote zilizotokea maliasili pamoja na tuhuma zinazomkabili zimetokea kwa sababu ya kuwalinda baadhi ya Vigogo,sasa anaona waliokula ni wengine anayeadhibiwa ni yeye,kutaja wazi hawezi kabaki na machungu moyoni tu.

Yeye ndio alikua kigogo nambari one hapo maliasili,tusijisahaulishe hili,sasa labda alikua anajilinda mwenyewe.
 
Back
Top Bottom