Mkuu naomba ufafanuzi kwenye red hapo. Maana naona siku hizi kiongozi akivuliwa uongozi kutokana na kashfa tunamwita mstaafu. Kwa maana hii pia hata akina Jairo na Muhando na wao ni wastaafu!
US$ 700,000 amedumbuliza kwa muda mrefu pamoja na kukopa kama alivyosema, lakini wizi wa TShs. 6 billion kwa mwezi wewe CHUAKACHARA unaoni ni ufisadi wa kawaida?
Aliyekuwa waziri wa JK ambae alitoswa kwenye reshuffle, akichangia bajeti ya wizara ya nishati na madini amesema
mawaziri wanaofanya maamuzi wako hatarini sana kwa sababu kama maamuzi yataenda kinyume na maslahi ya mafisadi basi inaweza ikala kwa waziri
akimpa ushauri naibu waziri masele, amemwambia aende kahama kurekebisha mambo maana huko vitalu wamepewa mabwenyenye ila awe makini maana maauzi ya kutetea wanyonge yana gharama zake, na ushahidi upo na akamaliza kwa kusema 'najua wewe ni mtu mzima, nafikiri utakua umenielewa!'