Maids Matata

Hapo tu ndio napokukubali, hali ya kuchepuka imekua within our blood.
And of course its a matter of timing

Kuna mtu huwa ananiambiaga Kasie wewe ni fyatu, mie huwa nacheka tuu. Kuna muda huwa nawaza.... kama binadamu ni mammalia aka wanyama, pamoja na kuwa tumestaarabika na tumewazidi wanyama wa porini ila kuna namna tunakuwa na tabia za kinyama mfano ukatili, uchokozi, kutofata sheria, ulafi ninalotaka kulisema hapa ni kutokuwa na mipaka ya huyu ni mke wangu au huyu ni mume wangu. Yaani leo unakuwa na huyu mwezi ujao mwingine mwaka unaofata mwingine unabadili ladha tofauti tofauti kutokana na taste yako. Kama kufa mwiosho wa siku hata bikira na watawa wanakufa.

Najua watakuja wengi hapa kunisoma kuwa nawaza kwa kutumia makalio ila wasisahau kuna maneno yanasemwa mitaani hata mapadri na masista wanajiachia kwa maana ya kujamiiana aidha wao kwa wao au na watu wa uraiani. Hakuna mwenye ushahidi ila yanasemwa, na lisomwalo lipo kama halipo litatokea. Wewe ni nani zaidi ya mtawa uwe mkamilifu kiasi cha kutokuchepuka??

Mie nachepukaga sana sema kiwizi wizi na kuhakiki hakuna ushahidi.
 
Wanasema hivi
"Mwenye hekima huona haja na kujificha, bali mpumbavu huenda mbele na kuvimba kichwa"
Nimekuelewa
 
Nazisubiria salamu zako. Niko migombani huku kwenye foleni ya sensa

Hahahahahhaa hufai wewe, mbona umewahi hivyo unakwepa nini au umekimbia nini?

Kama mida hii uko migombani salamu hazikufai labda hadi mwakani tena....
 
Hizi nguo za maids siku hizi ni balaa zinawashika kweli kweli na lazima wawe na mashape ya haja, bwana harusi anaweza pata second thought siku ya harusi yake.
Huhh..pole mzee....

Huoni wengine vigunia vimeshuka kabisa...

Mnaibiwa kizembe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…