Maids Matata

Kama aliyekuwa anaolewa ni kimbaumbau bhasi mwamba atakuwa anahisi kama alikosea hivi

Hahahahaa wanaume mnapataga tabu sana na miili ya kiafrika ya kike..... Na sie tunaugumia tamu chungu na maumbile yenu maridhawa.....

K' Matata.
 
Yaani hawa maids ni zaidi ya Matata na wanajua kuitega hadhira.... Mie nimependa pia vile wanatabasamu, macho yao... cute them.
Yeah kazi yao wanaijua,maana hiyo dressing tu mkuu inafanya audience kutojutia attendance yao
 
Duuuuuu,hao wanawake wote ni wazuri nimeshindwa hata nimchague yupi hapo,maana wote ni wakali
 
Duuuuuu,hao wanawake wote ni wazuri nimeshindwa hata nimchague yupi hapo,maana wote ni wakali

Umeona eeehh tabasamu Matata kwa warembo hao yaani hata kama ulikuwa na usingizi unaisha wenyewee hehehee

Halafu wako flexible licha ya mizigo mizito waliyonayo hehehehhe hatariii.

K' Matata.
 
Umeona eeehh tabasamu Matata kwa warembo hao yaani hata kama ulikuwa na usingizi unaisha wenyewee hehehee

Halafu wako flexible licha ya mizigo mizito waliyonayo hehehehhe hatariii.

K' Matata.
Kwa kweli jamani,wameumbika
 
Ha haaaaaaa wewe tena usijali na leta contena kabisa la 40FT.....

Hhahahahahhaaa looh Kasie mie, raha iliyojee.

Acha niseme asante kwa zawadi in advance.

40ft contena.... skukuu tamu kabisa.

Asante sana Mnamaa.
 
Kumbe wanaume tunajua kutunza

Ukiona KE yeyote amependeza ujue mwanaume anahusika, kama sio baba mzazi basi baba mlezi. Japo wapo pia KE ambao wanapendeza kwa pesa zao wenyewe ila sababu wako na partners wao u lovers wao basi hujiweka watanashati na kudamshi ili muda wote wawe machoni mwa hao partners wao.
 
100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…