Mahusiano

Norms

New Member
Mar 1, 2012
2
0
Mbinu za kuweza kunisaidia kuweza kutoka na rafiki wa kike wa mpenzi wangu plz kwa yeyote ambaye ni mtalaam wa mambo hayo naomba msaada wake!:lol:
 
Teh hiyo simple...watoe wote mara ya kwanza...ya pili...hata ya tatu then vizia demu wako km hayupo andaa mtoko chap na huyo mwingine
N.B:UKIMWI UNAUA
 
Mbinu za kuweza kunisaidia kuweza kutoka na rafiki wa kike wa mpenzi wangu plz kwa yeyote ambaye ni mtalaam wa mambo hayo naomba msaada wake!:lol:
Inawezekana nina kichwa kigumu kuelewa................hebu fafanua, utoke naye kivipi?
 
Mtambuzi. Norms anataka kutoka na girl freind wa boyfreind wake. Anataka threesome. Si unajuwa vijana wa kileo !!!!!!!
 
Back
Top Bottom