Mahusiano

if ur afraid to be in a relationship i am afraid to show u another alternative too!

There is probably no other alternative. . .kama ingekuwepo ingenifahamisha ili na mie nijue, huwezi jua labda itanivutia.
 
sikiliza wimbo wa didge- saa zingine
upo yotube
nimeshindwa kuuweka hapa
mchina kagoma
 
...nenda na flow tu bana, ushambiwa love ina four season kama dunia, kuna;

"Spring," yanavyochipuka kusikojulikana, unajiskia kutoa maua na hata "vipepeo unawaona na rangi zao!"
"Summer," mapenzi moto moto...kila wakati unajiskia uwe naye...hakuna kuliko yeye
"Autumn," hapo kidogo unaanza nataka sitaki...moods zilikotokea hujui, dakika moja unacheka...mara unajiskia unune tu...
"Winter," hapo unataka uachwe kama ulivyo...mind the gap...unalazimisha mtu aheshimu space yako

...ukishauzoea mzunguko huu, wako na wa mpenzi wako mapenzi wala hayatakusumbua.
 
what a wonderful analysis is that! Thumbup!
 
here is the alternative! Do not let what u can not do interfere with what you can do!
Nilikua nakuja kuandika almost hivi hivi.
Sijui from what context unaongea , but my perspective about love is: because haupo fully in control, ni bora kuweka mapenzi at the third or fourth priority. Focus zaidi katika vitu unavyo weza kupeleka mbele in your life kwanza then ndio swala la mapenzi lije.

Na katika swala la mapenzi content yourself by doing what you can do. it takes two to make it perfect. so the best you can do is play your part.Kama mwenzio hafanyi what he should basi ongea nae, akishindwa kabisa achana nae.

At any given time of the relation kumbuka you are two different individuals, with separate goals that you can decide/or not to merge... msaidiane kusonga mbele katika agenda zenu za maisha, don't let your love affairs (including the 'long lasting' or 'life time' ones) waste your precious time.
 
sikiliza wimbo wa didge- saa zingine
upo yotube
nimeshindwa kuuweka hapa
mchina kagoma

Saa zingine!
Maneno hunitoka, bila mpango,
saa zingine!
Ulimi hauoni ukweli wa moyo,
saa zingine naisare ikawa...
(bridge)
Tukiwa juu, sioni chini, tukiwa chini nataka tuwe juu....
(chorus)
Saa zingine naropokwa, manneno yanitoka juu ya penzi lako,
saa zingine, wanichosha nataka uondoke nenda zako, saa zingine ninazama na uzito wa penzi lako..
Saa zinginee
saa zingine, kukosana ndio mwanzo wa kuelewana!
Saa zingine, sauti yako tu ndio yanitoa machungu,
na sio saa zote nakupa msamaha....
Tukiwa juu sioni chini, tukiwa chini nataka tuwe juu!
Saa zingine naropokwa... (chrs)*2

lol hii ngoma naidedicate kwa .......
 
Back
Top Bottom