Mahusiano

Habari zenu wana-JF wote na wale wanaotembelea tovuti hii,naomba nichukue nafasi hii kusema hili kwa mara ya kwanza hapa ndani ya JF.
Ninahitaji msichana mrembo ambaye nitaanza naye uhusiano ambao utatupeleka katika uchumba na hatimaye kama tutaelewana na kukubaliana basi nitafunga naye ndoa na kuanzisha familia yetu pamoja.
Ninaomba awe na sifa zifuatazo:
1.Awe ni mzuri wa sura na tabia pia;
2.Awe ni muumini wa dini ya kiislamu;
3.Awe ni mtu wa kujishughulisha(muajiriwa au kajiajiri);
4.Awe na urefu kuanzia futi 5 na kuendelea;
5.Awe anajua kusoma na kuandika.
Hizo ndizo sifa za msingi kwangu,mambo mengine ni ya kawaida tu;naomba kwa yeyote ambaye anajali katika hili ani-PM.Kwa mawasiliano zaidi.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote ambao watakuwa na lolote kuhusiana na ombi hili.
Bye for now.

Ili kuongeza ufanisi wa tangazo lako ni bora ungetupia picha zako pia pamoja na wasifu wako...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom