Mahusiano

HOW TO POST COMMENT:

Naombeni mnisaidie jinsi ya share mawazo yangu kwenye jF,na namna ya kupost thread

evaluator karibu jamvini mama,mbona tayari umeshapost comment?thread angalia juu utaona mahali pameandikwa new post hapo unaweza kushea na sisi,bisha basi hodi kule kny utambulisho tukukaribishe ikiwa pia ni mazoezi ya kufungua thread
 
Ok,ndiyo maana nikasema kwa yeyote ambaye anajali katika ombi langu ani-PM.

Kwanini we unahakikisha kwamba wanakuja wakiwa na sifa hiyo kama hutaki wajue zako kabla?Kama ambavyo hupendi wakufate wasio na sifa unazotaka ndivyo ambavyo wadada hawatopenda kukutafuta bila kujua kama una sifa wanazotaka.
 
Asante Husninyo
anijuze hapa kwanza nikikubaliana nae ndio namPM
sifa zako hadharani mkuu
Hilo la kuhusu sifa zangu nitazitoa kwa yeyote mwenye kukubaliana na mwongozo wangu.Kwasababu,ni hatua binafsi hiyo.Siyo kila mtu anayehitaji kujua kuhusu mimi.Naomba unielewe katika hilo.
 
unapenda mambo ya Pm. Huku mambo hazarani. Sa zingine pm kuna giza.
Siyo kweli;ni kwa baadhi ya mambo tu.Mambo mengine ni binafsi hayahitaji kuwekwa hadharani kama unavyofikiria.Sidhani kama kila mtu akileta ombi lake hapa ndani ni lazima aweke wasifu wake.Hayo ni mahusiano ya watu wawili na si vinginevyo,hiyo hadharani haina nafasi tena.
 
Bado natafuta kwa yeyote ambaye yuko tayari basi tuwasiliane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom