Mahusiano yepi mazuri?

Obviously ukijificha lazima kuna tatizo kama hakuna jambo lolote baya sidhani kama mtu unaweza kuwa na mahusiano ya kujificha lakini vile vile hata kile unachoficha siku ya mwisho kitajulikana tu halafu kinaweza kuwa tatizo ukakimbilia kwa watu kuomba msaada na pengine wengine wakashindwa kukusaidia kwa sababu ulikuwa unaficha watu wasijue kama uko kwenye mahusiano, kwahiyo ni vizuri kuwa wazi hata tatizo likitokea watu wanaweza kukusaidia vizuri tu

Ukiona kuna mtu anaficha ficha mahusiano yake jua kuwa kuna tatizo
Au anao wengi hajui amtambulishe nani au hajiamini kuwa yule aliye nae ni wake na ana mipango ya muda mrefu na mhusika
 
Asikwambie mtu kuna raha kuwa na mapenzi ya wazi, yani mnakuwa mko free na mapenzi yenu, BTW, kwanini mfiche mapenzi yenu? mimi nafikiri yale mapenzi ya kujifichaficha ni yale wanafanya watoto wa sekondari, kama ham ibiani chenji, hamna haja ya kujificha, kuweni wawazi, enjoy love life, maisha yenyewe mafu pi haya aaagh!
 
Yenye kumpendeza Mungu na kuleta picha nzuri ktk jamii ndo nzuri
 
kuwasiliana kwny simu au online tu bila kuonana?yale ya kusimama gizan yani meeting yenu usiku tu mchana uko busy.au kuweka bayana wa2 wote wawaone na kutambua km ya wema na daimond,au yale tangulia kansubr pale chini ya mti m nakuja...
kwa mtazamo wako yapi ndo ya ukweli?
 
mh umenikumbusha mbali nilivyokua nasoma niliandikiwa kikaratasi na mvulana mmoja eti tukutane tukutane bindya tukanywe soda nililia huyo na ushamba wangu wanafunzi wakanizingira mh sitasahau aibu!
 
Kila mapenzi ni mazuri kutokana na maamuzi ya wahusika. Mimi binafsi sipendi mapenzi ya movie mf. Wema na Diamond.
 
nikipenda natamani kila mtu ajue,ila sio kama wema na mwenzake ulivosema
 
Back
Top Bottom