Mahusiano yamekupa maendeleo gani?

Mahusiano yamekupa maendeleo gani?

Kijana shortcut ya kufanikiwa ni kupenda sana halafu ubatizwe na moto Yale maumivu ni makali mno ila ukiyageuza kuwa petroli ya kukusukuma kimaendeleo utatoboa haraka sana.
Hio ndio faida kubwa
 


Uduguu sometimes watu wanaboa ujue? Nilishawahi mjibu mtu, had walio pembenii waliduwaaa. Inakeraa ujue. Lol
Huyu jirani yangu kichaa hapa natype tyr kashasema usinune hata km shangingi 😹😹😹
Yani kuna maneno ananifundisha mpk nishakuwa addicted na mineno yake.!!
 
Huyu jirani yangu kichaa hapa natype tyr kashasema usinune hata km shangingi
Yani kuna maneno ananifundisha mpk nishakuwa addicted na mineno yake.!!
huyo jirani ako kachachukaa vibayaaa!!! Em mzoeee.
 
Ananipa
huyo jirani ako kachachukaa vibayaaa!!! Em mzoeee
Ananipa burudani sana’a 😂😂😂
Leo ananiuliza kwahiyo umegoma kuolewa we shangingi? Njoo bas nikuoe shangingi mwenzio 🤣
 
Back
Top Bottom