Mahusiano ya wanachuo

Mahusiano ya wanachuo

Hayo ni mawazo potofu kwani hayana ukweli ndani yake mtu akiamua kufanya yake kaamua tu mbona hata walioko ktk ndoa hufanya hivo???? Afu hii hali imewaathir wapenz wetu ambao hawako chuo coz kila mda anakufikiria unafanya ujinga kumbe hata huna habar nao maskini ya mungu umetulia zako sasa sijui hizi fikra zitaondokaje ktk bongo za watu
 
Kweli ukiwa na mpenzi chuo ni stress kwenda mbele yamenikuta yaani nilikuwa na stress mpaka bac.
 
Mambo ya chuo we yaache. Madem wanakaa hostel zao lkn wanakesha hostel za boys haya nlyashudia nkiwa chuon mwaka wa kwanza. Then kule unakuwa na dem lkn ukihtim hapo ndo mwsho wa mahusiano coz asipo kuona wki mbil tu anachukuwa mwngne. Boys hawasumbuk kutafuta wanatafutwa na girls.
 
Back
Top Bottom