Mahusiano ya mtandaoni.

Mahusiano ya mtandaoni.

nae wakaka wa jf mmekuwa walalamishi kama wacheza rede mnaboa balaa! sio kila kitu ni cha kila mtu kama wewe unaona online dating sio yako waachie wengine. unaleta point nyepesi eti ukimwi hao mnaokutana mtaani sijui katika daladala wote ni salama?? kuna vitu vingine uzembe wako ndo unakukosti kama unapenda skin to skin bila kufanya vipimo hata utaekutana nae jumba la ibada sio salama. pole kwa povu ila haikuwa na njia nyingine
 
Hv wale wa mitaani/sehemu za kazi hawatumii mitandao? Au hawa wa mitandaoni hawapo mitaani? Wanatokea wapi sasa? Ingekuwa hvyo kusingekuwa na dating sites, na watu kupata wake/waume humo.
 
Back
Top Bottom