Mahusiano ya mtandaoni.

Mahusiano ya mtandaoni.

Nilijuaaaaaa...umekutana na kibwengo ndo ukome sasa mwishowe utamlipia dume mwenzako gest
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hahahahaa mkuu acha zako huwa nalipia wanawake ila wanatamanisha sana mara akutumie mpk picha zake za uchi mara akubembeleze duuh
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Basi tatizo liko kwako, umeshaumba mtu wako mwenyewe kwa akili ndo maana inakuwa ngumu kuukubali uhalisia
Ndooo maana nakupenda...bonfe la point utafikir sio usku
 
Basi tatizo liko kwako, umeshaumba mtu wako mwenyewe kwa akili ndo maana inakuwa ngumu kuukubali uhalisia
Ila ww unaamini basi endelea kuamini mi siamini binafsi kbs nikikutana nae namwona wa kawaida lkn kbl sijakutana nae nilikuwa wa moto sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hahahahaa mkuu acha zako huwa nalipia wanawake ila wanatamaniaha sana mara akutumie mpk picha zake za uchi mara akubembeleze duuh
Alafu shule zifunguliweee mrudi shuleni

Ata pole sikupiii
 
Mbona hata ya mtaani hayadumu sikuizi, haijalishi mnakutana wapi kinacho jalisha mimi naona ni ile compatibility baina ya hao wahusika, wakiendana na kupendana.
 
Mbona hata ya mtaani hayadumu sikuizi, haijalishi mnakutana wapi kinacho jalisha mimi naona ni ile compatibility baina ya hao wahusika, wakiendana na kupendana.
Yanadumu kiongozi nakwambia mm nina mtu wangu tuna zaidi ya 3 years na ni mvumilivu sana
 
Kwako yamedumu sawa, kwengine pia waweza kuta hayadum “hit n run”
Kwa hiyo unaamini kuna mapenzi hapa mtandaoni ? zaidi ya ahadi mwisho wa siku mnakutana na kutumia na kupotezeana.BINAFSI SIAMINI KAMA KUNA TRUE LOVE YA KUDUMU MTANDAONI
 
Kwa hiyo unaamini kuna mapenzi hapa mtandaoni ? zaidi ya ahadi mwisho wa siku mnakutana na kutumia na kupotezeana.BINAFSI SIAMINI KAMA KUNA TRUE LOVE YA KUDUMU MTANDAONI
Mapenzi yapo, mapenzi nayo yamegawanyika mkuu

Kuna mapenzi ya papuchi
Mapenzi ya 360 n.k
 
Mapenzi yapo, mapenzi nayo yamegawanyika mkuu

Kuna mapenzi ya papuchi
Mapenzi ya 360 n.k
Hapo sawa nimeamini tupo sawa sawa kiongozi ila wanaogopesha muda mfupi nae ashadate duuh wakati demu wa mtaani unaweza sota hata wiki bila mafanikio .
 
Bora niendelee kuitwa mshamba tu kwakweli, maana hata hizo fesibuku na wasapu hadi niwe najua Kiingereza....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Duuh ndo nataka nitulie tamaa siyo nzuri kiongozi
Wanasema karatasi plain ile ukiikunja maramoja, ata uinyooshe kwa pasi ya umeme wa mavi haito kaa kwamwe kama ilivyokuwa awaili, namaanisha kama yupo royal ukaja kumzingua tuu atokaa hawe vile kama alivyokuaga awali, mtunze
 
Back
Top Bottom