Hata kama mna cheti cha Ndoa mkuu?mahusiano ya mbali ni kujizima data tu ndio yataenda ila ukiyapa usiriazi sana utaambulia maumivu makali mno.
Kujihiba siku mojamoja punguza ashki sio vibaya ila mbaya ni kuanzisha mahusiano mengine juu ya mahusiano.Mwenzio akipata mtu mwingine huko na wewe unapata mtu mwingine huku.
Ila mkikutana mnaanzia mlipoachia.
Cheti cha ndoa ndo kinafanya mtu hasiwe na nyege?Hata kama mna cheti cha Ndoa mkuu?
sijajua kwa upande wa ndoa sijafikia hatua hiyo bado ila hayo ni kwa experience yangu ya mahusiano kabla ya ndoa, wenye ndoa watatusaidia kwa experience ya ndoa.Hata kama mna cheti cha Ndoa mkuu?
π π π π π π UPWILU UNAKABA KOOCheti cha ndoa ndo kinafanya mtu hasiwe na nyege?
Mahusiano ni mahusiano tu yawe ya ndoa au ya kihawara swala la kumichana halina mipaka.sijajua kwa upande wa ndoa sijafikia hatua hiyo bado ila hayo ni kwa experience yangu ya mahusiano kabla ya ndoa, wenye ndoa watatusaidia kwa experience ya ndoa.
MaxGen soma hiyo, mahusiano ya mbali ni changamoto sana nmewahi kuwa nayo mara 3 na yote yaliishia na yale yale tu.Mahusiano ni mahusiano tu yawe ya ndoa au ya kihawara swala la kumichana halina mipaka.
Walioolewa wanaliwa na wasioolewa wanaliwa vile vile tena rate ya wanandoa kuchepuka ni maradufu hata ya walio single.
Cheti cha ndoa nikama vyeti vya elimu mtu unakuwa umepass vizur lakin kuajiriwa ni mwingne ko chet cha ndoa hakizuii mtu kuingia kwenye mahusiano mapya hapo ni kuomba tu mkikutana nyote muwe salama suala la uaminifu mkiwa mbali ni yataka moyo sanaHata kama mna cheti cha Ndoa mkuu?
kweli kabisa mkuu ni aina fulani ya mahusiano yenye uongo mwingi sana. Ndoa nyingi sana ziliyumba kipindi cha kuhamia dodoma, kuna jamaa yangu alivunja ndoa ya mtu baada ya fumanizi.Lazma uishie kupigiwa tu, fimbo ya mbali haiui nyoka π€£ waliosema hawakukosea.
Huwa haina mbali wala ukaribu, hizo ni tabia tu za watu.Mahusiano ya mbali yanachangamoto nyingi hasa suala la uaminifu.Umbali huu unawezasababishwa na kazi Mfano mhusika mmoja anafanya kazi Kilimanjaro mwingine yupo mtwara.Kuonana ni miezi kadhaa hadi mwka.Hii inaleta changamoto kwani wanamahusiano hawa wasipoweza kudhibiti hisia wanawezajikuta wanamahusiano juu ya mahusiano.Kudhibiti hisia yataka moyo na mungu.
=====================================================Kuna mhusika mmoja alimuibukukia mke wake kwa kumshtukiza akakuta viatu vya mwanaume mwingine na koti kuuliza akaambiwa ni vyako nilikununulia hajakaa sawa akakuta mwenye navyo anaingia bila hata ya hodi ati anauliza huyu nani du stor ni ndefu nitatafuta muda niwape uhondo wa kilichoendelea lakini itoshe kusema kukaa pamoja na mwenza ni jambo jema hata lisipoweza kufanya kazi kwa 100% lakini litapunguza kwa kiasi suala la uchepukaji na kupunguza magongwa ya zinaa mtaani.
Yani ni movie mzee. π Unaambiwa bby goodnight nmechoka leo. Simu ikikatwa after 5 mins ukiipiga ngoma inatumika yani "Line Busy"kweli kabisa mkuu ni aina fulani ya mahusiano yenye uongo mwingi sana.
Nakaziamahusiano ya mbali ni kujizima data tu ndio yataenda ila ukiyapa usiriazi sana utaambulia maumivu makali mno.
πππ nacheka kama mazuri ila ukweli mahusiano ya mbali ni mabaya na hayo madudu yaliyopelekea wakaachana yalianza kipindi wako mbali yakataka kuendelea hata kipindi ambacho walikuwa karibuKuna hao waliokuwa na ndoa yao, mume mkoa huu na mke mkoa ule. Walidumu miaka na miaka.
Baadaye walikata shauri mume amfuate mke wake mkoa ule ili waishi pamoja, na walifanikiwa.
Baada ya kuanza kuishi pamoja miezi kadhaa tu ndoa ikavunjika.
Inakuwa ngoma drooMwenzio akipata mtu mwingine huko na wewe unapata mtu mwingine huku.
Ila mkikutana mnaanzia mlipoachia.