me mapenzi ya kutokuonana siwezi.. labda uwe unanitumia hela kila siku
we mtu umenyweshwa supu ya ela sio bure, niambukize na mimi kaka yako aisee!
I like when you get shy... You look beautiful and sweet...Niliogopaje ile siku unifate moyo juu juu ful aibuuuuuuu! Nikasema nimepatikana pozi zote kwishaaaa Naogopa hata kukuangalia macho chini unaniambia lool at me mahondaw! Ndokwanzaaa kama umeniambia geuka kulia unanigeuza kwa mkono wako nikuface naona aibuuuuuuu dahhhhhhhhhhh! Asante sana Smart911. Katu sijutii
Mahondaw wa Smart911
Njoo nikuonueshe![]()
![]()
![]()
![]()
we mtu umenyweshwa supu ya ela sio bure, niambukize na mimi kaka yako aisee!
young kilimanjaro
Ukijua tu huyo mwanamke anachotaka, au kupendelea nini... Mission accomplish...
Ukiyafanya yale yanayomvutia kwisha habari...
Hujui what was i looking for kwa kukukera vile... Ulikuwa unanipa majibu bila hata kujijua...
Ndiyo maana you where so damn surprised as if i was in your mind...
Hahahahaaaa, kazi kwel kwelMi nlikua na mpenz wang wa mtandaoni mpaka tumeachana hatujaonana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nlikua na mpenz wang wa mtandaoni mpaka tumeachana hatujaonana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nasema haiwezekani mpaka upewe tunda
!!!........Huu ni ujanja ujanja wa kutaka kummega Inna!Yan ukipata wa hvyo shikilia usitelezeHahahaahhahahaahahahahaha! mi Nashukuru Mungu kwakweli.. The guy is real hana uswahili swahili! '
Cc Smart911
Nikawaza sana... Nikajisikia vibaya...
Nikarusha double of that tena.... Nikaona kimya... Nikasema yesss... Naona tena imerudishwa...
Hahaha... Basi yaishe...yaishe super dear...Nikasema ee mungu ashindwe huyu kiumbe! Kama ni jaribu awamu hii naona anataka kunitoa kafara sasa mbona kaongeza?!
Moyo ukawa unajiuliza mara mbili mbili nikasema ngoja kwanza.. Nikakaa nayo Weeeee badae ah ah hapana
Wenawe hufaii nikichomoa unaongezaaaa Unazidi kunisaprizisha tu ado ado . Kipindi hiko bado loan board walikua hajaniingiza kwenye makato kabisa. mwezi uliofuata kucheki nakuta laki sijui nangapi ishakombwa nikakonda kwanza hapohapo ATM!
Nivotoka nikakubipu. Ukanipigia khakhaakhaa.. Una sifa Smart911 wangu jamani lol eti don't worry tell me anything you want.. Or any problem contact me.. or just come to my house I will be there
Nikabanwa na kikohozi kwanza..
Mahondaw wa Smart911
Mambo.inawezekana kabisa
Alikuambia???Hahahahaaaa, na Inna kaisha goma kumpa
Hahaha... Unakumbuka... Gross yako ndiyo NSSF yangu...Nikasema ee mungu ashindwe huyu kiumbe! Kama ni jaribu awamu hii naona anataka kunitoa kafara sasa mbona kaongeza?!