Mahusiano ya mapenzi bila kuonana

Mahusiano ya mapenzi bila kuonana

Who said the world is not fair... It is fair... Its a matter of time and hard work pays...

Instant vile umenihenyesha, ningeamua to give up on you... We wouldn't have been together today...

Patient with hard work pays super dear...
Thanks love.. Huchoki kanifundisha na kunielekeza nisiyoyajua. Barikiwa sana Smart911 wangu





Mahondaw wa Smart911
 
Hahaha... Yeah nikaona ghafla hutaki kunijibu tena... Nikawaza mbinu mbadala... Nikasema ngoja atanijibu tu...

Nikaanza uchokozi, basi ukijisikia kunishushua ndiyo unaongea na mimi.. Still nikasema utakaa sawa tu...

Baada ya hapo wacha nikae kimya...
Mnaharibu uzi wa watu nyie na maigizo yenu. Mmeshindwa kutumiana vimej hivo mnakuja kuandika kweny uzi wa watu acheni hizo pigo
Kwanza ww ndio huyo mahanda
 
Back
Top Bottom