Mahusiano ya mapenzi bila kuonana

Mahusiano ya mapenzi bila kuonana

I was like... No matter what it takes i wont give up...

Coz love goes to those who believes in it...

Hahaha ndomana ukawa unanichokoza na maneno yakoeee ili nilasirike nikujibu mwee! Na nilijaa sio kidogo.. Thanks Smart911 wake namie . Halafu ileeeeee wish nikashangaa OMG!!! this guy again hahahaah. Sijutiiiiiiii

Mahondaw wa Smart911
 
Hahaha... Yeah nikaona ghafla hutaki kunijibu tena... Nikawaza mbinu mbadala... Nikasema ngoja atanijibu tu...

Nikaanza uchokozi, basi ukijisikia kunishushua ndiyo unaongea na mimi.. Still nikasema utakaa sawa tu...

Baada ya hapo wacha nikae kimya...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom