Hahaha... Yeah nikaona ghafla hutaki kunijibu tena... Nikawaza mbinu mbadala... Nikasema ngoja atanijibu tu...
Nikaanza uchokozi, basi ukijisikia kunishushua ndiyo unaongea na mimi.. Still nikasema utakaa sawa tu...
Baada ya hapo wacha nikae kimya...
Hilo linawezekana na limeshatokea kwa baadhi ya watu,Habari zenu wadau wa JF.
Naam kwa wale wajuzi wa mambo haya, hiv inawezekana kutengeneza mahusiano ya kimapenzi bila ya kuonana na mlegwa husika.
Mfano labda ulimcheki Mitandaoni ukavutiwa nae mtoto ukamvutia mawasiliano alafu ukamweleza la moyoni sio kichwani. Asante
Remember... Kabla ya kunikubalia... Nikakupigia nikuone... Ukapokea kwa dharau sana... Ukasema hapana, unatoka na mipango yako... Nikasema basi nikupeleke... Ukani sonyaa...
Hahaha... Nikikuangaliaga usoni nakuulizaga hivi ndiyo wewe kweli uliyekua unanitolea maneno ya ukali vile...Lol ulinikua unanipa maneno ya kunitia hasiraaaa nafuraa chura ana nafuu nami nakushushuaa.. Nakwambia Wee kaka nimekusoma nini lakini mbona ivo?! Unanikera ujue Wee nawe eti ndo nachotaka nikukere tu haha unanipa dongo nakushushuaa! Dongo shushuaaaa teh Huwa Nacheka sana nikiangalia ile scene
Mahondaw wa Smart911
Hahaha... Yeah nikaona ghafla hutaki kunijibu tena... Nikawaza mbinu mbadala... Nikasema ngoja atanijibu tu...
Nikaanza uchokozi, basi ukijisikia kunishushua ndiyo unaongea na mimi.. Still nikasema utakaa sawa tu...
Baada ya hapo wacha nikae kimya...
Ngoja NiangalieNjoo pm basi
Remember... Kabla ya kunikubalia... Nikakupigia nikuone... Ukapokea kwa dharau sana... Ukasema hapana, unatoka na mipango yako... Nikasema basi nikupeleke... Ukani sonyaa...
Nikakurushia pesa kwa hasira na ghadhabu... Huh ukairudisha ukasema kwa dharau...
Nikasema... mahondaw... When i aim i get... Once i shot i don't miss... I will get you...
Hahaha... Kilichofuata hapa.. Sitaki hata kusema...
Yaaah ChangamkiaNachangamkia fursa
Ukijua tu huyo mwanamke anachotaka, au kupendelea nini... Mission accomplish...Ulikua unanikeraje na maneno yako unanipa dongo mwisho all i can say lol! '
Nakasirika nasema Wacha nikae kimya nakaa kimya badae moyo unashindwa kuvumilia nakujibu nyoko umo tu khakhaakhaa! tukaenda tukaenda mwendo wa mashushu tu mpaka ile wish ikanistuaaa eish this man jamaniiii!
Na kukutana I was afraid balaa ila uchonifanyia ile siku lol! sio kwa sapriz zile dahhhhhhhhhhh! Asante sana Smart911 wake namie. sijutiiiiiiii
Mahondaw wa Smart911
Ukiwa unapiga na yeye huko anapigwa sawa .Habari zenu wadau wa JF.
Naam kwa wale wajuzi wa mambo haya, hiv inawezekana kutengeneza mahusiano ya kimapenzi bila ya kuonana na mlegwa husika.
Mfano labda ulimcheki Mitandaoni ukavutiwa nae mtoto ukamvutia mawasiliano alafu ukamweleza la moyoni sio kichwani. Asante
aminas jifunze kitu hapaUlikua unanikeraje na maneno yako unanipa dongo mwisho all i can say lol! '
Nakasirika nasema Wacha nikae kimya nakaa kimya badae moyo unashindwa kuvumilia nakujibu nyoko umo tu khakhaakhaa! tukaenda tukaenda mwendo wa mashushu tu mpaka ile wish ikanistuaaa eish this man jamaniiii!
Na kukutana I was afraid balaa ila uchonifanyia ile siku lol! sio kwa sapriz zile dahhhhhhhhhhh! Asante sana Smart911 wake namie. sijutiiiiiiii
Mahondaw wa Smart911
Hahaha... Nikikuangaliaga usoni nakuulizaga hivi ndiyo wewe kweli uliyekua unanitolea maneno ya ukali vile...
Siyo kwa ukali na maneno ya kukatisha tamaa uliyokuwa unanipa... Yani ni kibabe kupitiliza...
Nikawaza sana... Nikajisikia vibaya...Hahahaahhahahaahahahahaha nikajitia masikini jeuri moyo mmoja unasema toa hio hela utumie tu si kataka mwenyewe mwingine unasema hapana anakupimaa imani huyoo anataka kukununua rudishaaa.
Nikaona tu bora kurudisha nikarudisha ukanishangaajeee.. Eti nimekupa tu utumie. nami unipe burebure tu mi ndugu yako??!!??? sitakiiii nikarushaa hela yakooo. khakhaakhaa huwa Nacheka sana lile tukio
Mahondaw wa Smart911