Njoo PM nikupe formula mtoto mzuri
Muulize huyo ndugu yakoAisee hiyo tabia imeanza lin
me mapenzi ya kutokuonana siwezi.. labda uwe unanitumia hela kila siku




shubaamit.!!me mapenzi ya kutokuonana siwezi.. labda uwe unanitumia hela kila siku
bado mkuu haiwezi kufa mpaka nife mimihahaaa.miss chaga naona bado una ile nyota yako ya ATM
mkuu nikikupa namba yangu usipotuma unanishauri nikutangaze jf kwa utapeli upo tayari ?Nitumie namba pm alafu nakuwekea mzigo
Hiii Imekaaje Ivi....KabisaaaYeap inawezekana..., watu wanatengeneza mahusiano mitandaoni bila kuonana mpaka wanaachana bila kuonana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Akituma Nami Nishtue miss chaggahaya karibu hapo sitakusahahu
sawa mamyAkituma Nami Nishtue miss chagga
Tuelezee Inawezekanaje