Mahusiano vs mawasiliano

Mahusiano vs mawasiliano

Kama kamwaga ugali...... Mboga meza usimwage maana mboga hua tamu especially nyama ya kukaanga

Mpotezee, jitoe mdogomdogo

Kama anatikisa kiberiti bas kianguke kwenye maji
 
manamake yamejaa tele unahangaika nae wa nini..........piga chini chukua kitu BRAND NEW
 
Una mapenzi MUBASHARA sema yeye ndio hasomeki pole sn lakini.
 
Itakuaje pale mpenzi wako anapokupigia simu Mara moja kwa wiki, na ikipiga simu haipokelewi na akipokea mnasalimiana tu Alafu atakwambia atakupigia badae, na hapigi pia unamkuta online whatsp ukimtext anafunga data, unapomuuliza Kama kweli a nakupenda ana sema ndio. Je huu ni uungwana?

ndugu hapo hakuna mapenzi na hupendwi ...shtuka ,,achana nae fungua ukurasa mpya wa maisha yako..siku zote yule unaempenda kwa dhati na kwa moyo mmoja hathamini upendo wako anakuona kama kingnganizi kwake ..anakukimbia bahati mbaya hawa hukutana na mabomu ya machozi hatari...ukipendwa pendeka ..acha maringo
 
Back
Top Bottom