MMmh, naenda kujenga ua hata kama ni wa makutiNaongeza mbwa na paka kwa ajili ya kulinda wanangu
Ulijuaje harufu inatoka kwake na sio kwako? maana hata wanaume wako wanaokuka mikojo...
Sina sababu ya kujificha, jinsi yangu ni ME, Feb.25 ninatimiza miaka 35. Sipatagi company za marafiki wa kiume kwasababu hiyo hapo....story za hivyo huwa sizipendi kabisa. Wanaume wengi hupenda sana kusimulia mambo hayo na simulizi za hivyo kwangu huwa ni dhambi kubwa. Nilifanya ngono ujanani lakini kamwe sikuwahi kuhadithia jambo kwa yeyote.
Hizi shule zitafunguliwa lini?
mbona unaleta umachikujua sasa tulia uelezwe mkaka wa vitoto vya miaka ya 90:shock:Kwani unamjua huyo msichana mwenyewe au mi unanijua? Hapa natafuta ushauri wala sijamuabisha ila pia wapo wengine mmekutana na situation kama hii na itawasaidia kugundua tatizo mapema. Tatizo wasichana wa siku hizi hawatabiriki unaweza kumwambia kwa kumsaidia akachukulia unamtukana au kumdharau. Ila nakuhakikisha mkuu wala sina lengo la kumdhalilisha.
Kitu wanaume hamjui, wanawake ni tofauti sana na wanaume .
Maumbile yao yana changamoto nyingi na kama hazijashughulikiwa ipasvyo,ni kazi.
Mwanamke huendelea kuboresha mambo with time na ndio maana wasichana wadogo sana si busara uanze kuwapigisha kwata.
Wapeni muda wajifahamu, wajielewe na wajijue katika kujiandaa kwenye masuala nyeti.
Angalau msichana aliyefikisha miaka 20 utategemea ana "experience" ya miaka isiyopungua 5 katika kujua namna ya kujitunza baada ya balehe....wapewe muda mpaka umri gani labda??????
Angalau msichana aliyefikisha miaka 20 utategemea ana "experience" ya miaka isiyopungua 5 katika kujua namna ya kujitunza baada ya balehe....
mtoa mada anazungumzia "harufu"mbaya...
hiyo ni matokeo ya mchanganyiko wa vichocheo vinavyosababishwa na mchakato wa homoni za "mapenzi" na pia
jasho na mengine.Angejua anahitaji kujiswafi vipi katika sehemu nyeti na pia wakati wote na hasa akiwa kwenye menses... tatizo lisingekuwa la kuogofya hivyo.
kuna wengine wachafu tu
unakuta 24 bado still hajui kujisafisha...