Mahusiano na Ushirikina, umakini unahitajika

Usijali hapo lazima akufanye ujisikie vizuri, ukicheka na yeye mambo yake yanacheka.
Kama angekua ni ndugu yako o family member ungekua umeisha like being ndondocha.
Ila kwa formula hiyo hamna shida cha msingi onesha ushirikiano tu ule mema ya nchi. Life has full of choices.

Nb: Copy and pest.
 
Kumbe realMamy ni cha wote, halafu sikuona sehemu uliyosema mlitumia kinga.
Mfanyabiashara wa mbao lazima anakituo Makambako. Shauri yako.
 
Nimecheka mimi km nakuona unavyotoa macho kuangalia silingbodi na panga Boi hapo ofisini.
 
Copy &paste 👇umakini unahitajika sana.

Nyie mwenzenu 😭😭😭😭😭😭natamani kulia mimi yamenikuta

Mwenzenu nipo kwenye mahusiano na kaka mmoja mkoa fulani. Yeye ni
 
Copy&paste👇umakini unahitajika sana.

Nyie mwenzenu 😭😭😭😭😭😭natamani kulia mimi yamenikuta

Mwenzenu nipo kwenye mahusiano na kaka mmoja mkoa fulani. Yeye ni mfanya biashara mkubwa tu wa mbao Malawi kuleta Tanzania

Miaka mingi nipo nae sijawahi kuona maajabu Kama niliyoyaona jana. Nyie mwenzenu naomba mniombee nahisi kufa

Alinipigia simu kabla sijaonana nae akaniambia hizo shanga ulizonazo sizipendi tafuta shanga nyeupe zitakupendeza mie tena nikakubali.

Akasema kesho tuonane nimekumis ndo Jana sasa.

Nikajiandaa mapema akaja kunichukua home, tuaondoka mbaka mjini

Akaniuliza shanga wanauzaje leo ni

nataka uwe umevaa shanga nyeupe nikasema sawa.

Nikamwambia bei yake akanipa nikanunue pale tulipo kuwepo ni maeneo hayo hayo Kuna wauzaji wa hizo shanga

Basi tukaenjoy weee kama mida ya saa 5 ndo tukarudi kwake kulala. Basi tulifika me nikataka kuoga ndo nilale akanikatalia akasema vua hizo shanga zako

Vaa hizi nyeupe mie chap nikavaa anazotaka, Nikapanda kitandani nikalala naye akalala

Tukazagamuana tulivyomaliza tu akaniambia vua shanga hizo nipe

Hee nikashtuka tena kunakuzitoa kumbe

Nikagoma akawa mkali ghafla basi nikazitoa nikampa akaweka chini ya mto wa kulalia🙆🙆🙆🙆
Tukalala mpaka asubuhi mida ya saa 12 nikaamka Ili niondoke niende kwangu nijiandae kwenda kazin

Na yeye akaamka muda ule ule nikasema ngoja niziibe shanga niondoke nazo hazikuwepo pale na yeye alivyoamka hakuzishika kabisa na kwasababu alikuwa mtupu hata kusema ameamka kahamisha sio kweli.

Nikamuuliza kwann shanga umeniambia nikupe tena na ulininunulia mwenyewe akasema we tulia sio Kila kitu ujue, nikifanikiwa na wewe umefanikiwa nyie mwenzenu nimeshinda leo kazini Sina Raha najitahidi kumuuliza hasemi ukweli

Anazunguka zunguka tu
Tena asubuhi alinipeleka yeye mwenyewe nyumbani akanisubir nijiandae akanipeleka kazin

Imefika saa saba kaniuliza unakula Nini nikuletee nikamwambia chochote

Akasema sawa,kweli akaleta chakula sijala mpaka sasa nakiogopa.

ana Nia gani huyu simuelewi.
ogopa sana hawa wafanya bishara haswa wa mbao na wanunuzi wa mazao vijijini, wana maajabu shinda ya Muddy enzi zake, yaani full vituko tu.
 
Ww jana tu nimekuona unasemaa uko Kwa ndoa ,Leo Tena uko na mwanaume wa Malawi ,hakii hyo nyashii Iko inapepetwa kama mchelee.🤪
Wanawake wa kibongo ni kawaida kwao kuwa na wanaume si chini ya wanne kwa wakati mmoja...angalia wasanii wa bongo movie na fleva.
 
Copy&paste👇umakini unahitajika sana.

Nyie mwenzenu 😭😭😭😭😭😭natamani kulia mimi yamenikuta

Mwenzenu nipo kwenye mahusiano na kaka mmoja mkoa fulani. Yeye ni mfanya biashara mkubwa tu wa mbao Malawi kuleta Tanzania

Miaka mingi nipo nae sijawahi kuona maajabu Kama niliyoyaona jana. Nyie mwenzenu naomba mniombee nahisi kufa

Alinipigia simu kabla sijaonana nae akaniambia hizo shanga ulizonazo sizipendi tafuta shanga nyeupe zitakupendeza mie tena nikakubali.

Akasema kesho tuonane nimekumis ndo Jana sasa.

Nikajiandaa mapema akaja kunichukua home, tuaondoka mbaka mjini

Akaniuliza shanga wanauzaje leo ni

nataka uwe umevaa shanga nyeupe nikasema sawa.

Nikamwambia bei yake akanipa nikanunue pale tulipo kuwepo ni maeneo hayo hayo Kuna wauzaji wa hizo shanga

Basi tukaenjoy weee kama mida ya saa 5 ndo tukarudi kwake kulala. Basi tulifika me nikataka kuoga ndo nilale akanikatalia akasema vua hizo shanga zako

Vaa hizi nyeupe mie chap nikavaa anazotaka, Nikapanda kitandani nikalala naye akalala

Tukazagamuana tulivyomaliza tu akaniambia vua shanga hizo nipe

Hee nikashtuka tena kunakuzitoa kumbe

Nikagoma akawa mkali ghafla basi nikazitoa nikampa akaweka chini ya mto wa kulalia🙆🙆🙆🙆
Tukalala mpaka asubuhi mida ya saa 12 nikaamka Ili niondoke niende kwangu nijiandae kwenda kazin

Na yeye akaamka muda ule ule nikasema ngoja niziibe shanga niondoke nazo hazikuwepo pale na yeye alivyoamka hakuzishika kabisa na kwasababu alikuwa mtupu hata kusema ameamka kahamisha sio kweli.

Nikamuuliza kwann shanga umeniambia nikupe tena na ulininunulia mwenyewe akasema we tulia sio Kila kitu ujue, nikifanikiwa na wewe umefanikiwa nyie mwenzenu nimeshinda leo kazini Sina Raha najitahidi kumuuliza hasemi ukweli

Anazunguka zunguka tu
Tena asubuhi alinipeleka yeye mwenyewe nyumbani akanisubir nijiandae akanipeleka kazin

Imefika saa saba kaniuliza unakula Nini nikuletee nikamwambia chochote

Akasema sawa,kweli akaleta chakula sijala mpaka sasa nakiogopa.

ana Nia gani huyu simuelewi.
Dah realMamy pole sana, hivi bado umzima mpaka leo hii? Yaani ni hivi, wafanyabiashara wengi hata na madereva ni washirikina sana kwa asilimia moja (100%), yaani hawa watu ni kama wamelaanika, uchawi kwao ni kawaida mno na wanaishi maisha ya kimagumashi sana. Tamaa za kutoka kimapanezi na wanaume ili tu upewe hela zinawaponza sana kina dada.Wasanii wengi wa kike hapa Bongo wanaliwa na wenzao huku wakifanyiwa makafara ya kimwili na kuachiwa laana, baada ya kuchotwa nyota zao wanachakaa ile mbaya, tunawaona mitandaoni wakidanganya watu kuwa wana maisha mazuri kumbe moyoni wanalia na kujuta.
 
Back
Top Bottom