Mahusiano na UKIMWI.

Mahusiano na UKIMWI.

Ah babu nimekuelewa aksante but bado kuna walosema ni ngumu kutumia condom nje constantly kwani baada ya mazoea tu watu wanatend kuaminiana so they stop using kinga. na kama nyumbani ndo GOD Forbid si unamletea mwenzi wako kipenzi??
Hiyo constant ralationship ya nje ni kwa mtu mmoja au kwa wengi?
Kama ni kwa mtu mmoja -OMG! Kabla hamjaanza kuiweka kando kondom, do the needful kwenda angaza kwanza.
Kama ni kwa wengi.............CONDOM IS A MUST!
Uzoefu unaonyesha uhusiano wa muda mrefu kwa cheaters ni hatari na unaongeza maambukizi zaidi ukilinganisha na wale wa hit and run. Hit and run ni rahisi sana kutumia kondom kuliko kwa yule mnayekutana kwa zaidi ya miezi sita.... You knoo woram seyyying?
 
usiseme sikukuonya...ulikunywa maji alokunywa rahisi wako jana Diamond jubilee???

biggy smthing is very very wrong with u!!

please condomize!!!

Mamushka!!!!!!
A quite OK.
Please I know you are not telling me to use them condoms when I give mama Matesha her Holy Right!
God Forbid!
 
Mamushka!!!!!!
A quite OK.
Please I know you are not telling me to use them condoms when I give mama Matesha her Holy Right!
God Forbid!

hapana, si kwa mama Matesha weeeeeeeeeeeeeh!!! jiangalie

wewe sikuhizi huwezi kusoma katikati ya mistari weweee hebu irejee ile post niliyo kukariri!!!
 
The Following User Says Thank You to Chrispin For This Useful Post:

MwanajamiiOne (Today)

Yeeees! Naona kale kafevareti batan kangu kamerudi!
 
Katika maana ya kuzuia VVU, nadhani suala la condom kwenye ndoa ni gumu. Linawezekana katika situation ambayo wapendanao kabla ya kuoana/kujamiiana wamepima VVU wote ama mmoja wao kuwa na VVU na kwa kujali mapenzi yao, wakaamua kuingia kwenye ndoa ragardless ya status. Hapo inakuwa rahisi sana kuammua kutumia condom. Lakini kwa ndoa ambayo tayari imeshadumu bila condom sioni ni vipi mtaanza kutumia condom kwa hisia tu tu kutoambukizana VVU.
 
hapana, si kwa mama Matesha weeeeeeeeeeeeeh!!! jiangalie

wewe sikuhizi huwezi kusoma katikati ya mistari weweee hebu irejee ile post niliyo kukariri!!!

Nimesahau kale kamawani kangu.

Nikichanganya na kuikumbuka ile taarabu ya kikwere ya jana......... I better stay drunk!
 
condom sio solution ya kutegemewa!!
kama uko serious kujikinga na ukimwi abstain.
 
Mi sikulipotezea mjukuu. Msimamo wangu ulikuwa huu:
Kwa kuwa haka kagonjwa kameingia sehemu mbaya sana?
Na kwa kuwa asilimia kubwa ya wanaume si waaminifu,
Na kwa kuwa wanaume hawajaumbwa kwa ajili ya Mwanamke mmoja...
Then: Wanapocheat WANALAZIMIKA KUTUMIA KONDOM.
Unaporudi home kwenye sakramenti takatifu ya ndoa: CONDOM IS STRICTLY PROHIBITED!
GOD forbid!
Likewise, na nyie mkitoka nje (Mungu apitishe mbali) tumieni kondom.
CONDOMS MUST BE USED ONLY AND ONLY WHEN WE CHEAT.
Have I made made myself clear?

hivi chris ebu naomba nikuulize plz, hivi leo ukajua mpora ana cheat utajickiaje?...naomba tu nijibu nitaridhika.
 
hivi chris ebu naomba nikuulize plz, hivi leo ukajua mpora ana cheat utajickiaje?...naomba tu nijibu nitaridhika.
Eti?! Mungu apitishe mbali........ Ishia hapohapo.
Kama anacheat afanye awezalo nisijue. Manake nikijua.......... hebu soma katikati ya mistari hapo.
Likewise nikicheat ntajitahidi asijue.
Akijua afanye awezalo na atakalo (ni haki yake) ili mradi asinyofoe baioloji yangu.... hilo tu basi!
 
Hiyo constant ralationship ya nje ni kwa mtu mmoja au kwa wengi?
Kama ni kwa mtu mmoja -OMG! Kabla hamjaanza kuiweka kando kondom, do the needful kwenda angaza kwanza.
Kama ni kwa wengi.............CONDOM IS A MUST!
Uzoefu unaonyesha uhusiano wa muda mrefu kwa cheaters ni hatari na unaongeza maambukizi zaidi ukilinganisha na wale wa hit and run. Hit and run ni rahisi sana kutumia kondom kuliko kwa yule mnayekutana kwa zaidi ya miezi sita.... You knoo woram seyyying?

mie cjaolewa, inahusu nini nikapime na wewe mume wa mtu?...na hata ukinishawishi tukapime bado mie nitakuwa na mambo yangu binafc coz na wewe hatuna future, jamani 2lizeni hizo kengele zenu mctuuwe tukijiona.
 
Eti?! Mungu apitishe mbali........ Ishia hapohapo.
Kama anacheat afanye awezalo nisijue. Manake nikijua.......... hebu soma katikati ya mistari hapo.
Likewise nikicheat ntajitahidi asijue.
Akijua afanye awezalo na atakalo (ni haki yake) ili mradi asinyofoe baioloji yangu.... hilo tu basi!

sawa nyie mnajifanya wajanja ku cheat, lakini cku nikilifuma wallahh naharibu mazimaaaaaaaaaa, maradhi ya wazi wazi hayana nafac kabisa kwangu.
 
mie cjaolewa, inahusu nini nikapime na wewe mume wa mtu?...na hata ukinishawishi tukapime bado mie nitakuwa na mambo yangu binafc coz na wewe hatuna future, jamani 2lizeni hizo kengele zenu mctuuwe tukijiona.
Kwa hiyo wewe huogopi kufa kwa kuwa tu hujaolewa?
 
sawa nyie mnajifanya wajanja ku cheat, lakini cku nikilifuma wallahh naharibu mazimaaaaaaaaaa, maradhi ya wazi wazi hayana nafac kabisa kwangu.
Aaaa wapi!
Utalia weeeee! Utasikitika weeeee! Utaomwa msamaha weeee! Utaomba ushauri weee! Utashauriwa weeee!
Utakumbuka watoto weeee! Utakumbuka mtarimbo weeeee! Utaona huruma weeee!

Mwisho wa siku utasema: Sawa nimekusamehe.... Maisha yanaendelea.
Ndivyo mlivyoumbwa nyie wanawake: KUVUMILIA, KUSAMEHE na KUSAHAU.
Najua utabisha manake kwa ubishi wewe huna tofauti na rais wako.
 
Kwa hiyo wewe huogopi kufa kwa kuwa tu hujaolewa?

nitapima kwa malengo, nipime na wewe kisa nini?...enzi zangu mie condom alikuwa frnd wangu wa karibu sana, ckuwahi kukiduana bila kinga so ningekufa kivingine, kwasasa hofu yangu ni hiyo ya kuletewa hii kitu ndani kama vile mnaona kuna ulazima wa kukiduana huko nje.
 
Aaaa wapi!
Utalia weeeee! Utasikitika weeeee! Utaomwa msamaha weeee! Utaomba ushauri weee! Utashauriwa weeee!
Utakumbuka watoto weeee! Utakumbuka mtarimbo weeeee! Utaona huruma weeee!

Mwisho wa siku utasema: Sawa nimekusamehe.... Maisha yanaendelea.
Ndivyo mlivyoumbwa nyie wanawake: KUVUMILIA, KUSAMEHE na KUSAHAU.
Najua utabisha manake kwa ubishi wewe huna tofauti na rais wako.

haaaaaa, haya bwana! nitaweza kusamehe/sahau na kuendelea na lyfe lakini na yeye hatanisahau na akifikiria kuvua kufuli huko nje tena atahic kama mama kibuyu nipo pembeni namchungulia, nitaharibu nitaharibu.
 
Back
Top Bottom