Mahusiano na UKIMWI.

Mahusiano na UKIMWI.

1. Maambukizi mengi zaidi au kitakwimu wanandoa ndio wanaoongoza kwa maambukizi ya UKIMWI

Sipingani na hili kwasababu najua kuwa wanandoa wasipokuwa waaminifu,na ikitokea mmoja kaambukizwa lazima atamuambukiza na mwenzie. Hapa uaminifu unatakiwa.

2.Wanandoa hawako immune kuambukizwa ati kwa vile wana leseni ya kujamiiana!

Wataambukizwa tu kwa njia ya kujamiiana kama watajihusisha na wapenzi nje ya ndoa, lakini kwakuwa hawa ni wanandoa lazima washikamane waache tamaa tamaa.

3. Wanadoa wa ko vulnerable to infidelity maana kwa kuoana hawapotezi ubinadamu wao ( udhaifu n.k.)
Hii ni kweli nakubaliana na wewe 100%, bado uaminifu, na umakini unatakiwa.

4. Kama wanandoa hawako waaminifu chances are kosa la mmojawapo ni hatari kwa mwingine aliye innocent.
Hii ni wazi kabisa na sina ubishi.

5. Kwamba wana ndoa wanahitaji kuzaa si hoja ya kuambukizana UKIMWI
Hapa nina shida sana,sina hakika kama wengi wanapima ukimwi kabla ya kuingia kwenye mahusiano na hatimaye ndoa, kwa hiyo jinsi ulivyokutana na mwenzio mkaanza mahusiano na kuingia kwenye ndoa ndivyo maisha ya ndoa yanavyoendelea, ukirudi nyumbani unamkuta my wife wako yupo anakusubiri,mkienda kulala mnaendelea kama mlivyoanza.Sijui kama wanandoa wengi wanaongea juu ya ukimwi mara nyingi!, ndoa zimejengwa na upendo na uaminifu, na ndiyo maana tunaapa kutengana katika kifo. Huwa wakati mwingine tunapanga kuzaa na wakati mwingine hatupangi hutokea tu, na wakati mwingine hata tukipanga watoto hawaji!
6. Kufuatana na sheria ya HAPCAT 2008 ( HIV/AIDS -( Prevention and Control Act) Kumwambukiza mwingine kwa makusudi ni kosa la jinai! Pia sheria hii inatutaka kila mmoja awe responsible kujilinda dhidi ya maambukizi..

Kama ukijua umeambukizwa si vyema ukamuambukiza mwingine si lazima mwenza kwenye ndoa tu, bali yoyote yule.

7. Kuzaa ni jambo jema.Je wewe mwenye ndoa unapima kabla ya kutafuta mtoto? Kama jibu ni hapana, ukizaa mtoto mwenye maambukizi huoni unamkosea sana huyo mwanao? Kama utazaa na kuhakikisha unafuata PMTCT ( kuzuia maambukizi kutoka mama kwenda kwa mtoto)- je huoni ni busara uendelee kujikinga ili uishi maisha marefu umtunze mwanao? Kumbuka ngono isiyo na kinga baina ya wanandoa pia ni hatari hata kama wote mmeambukizwa tayari!

HIVYO NDUGU ZANGU, BILA KUTAKA YA UNDANI ZAIDI - JIKINGENI!
Kupima ni lazima siyo wakati wa kuzaa tu bali mara kwa mara na hii inasaidia sana katika ndoa.Kupima kunaongeza umakini na inaonyesha kuwa unajua unachokifanya. Hivi mnaanzaje kutumia kinga katika ndoa? labda baada ya kupima na kugundua kuwa wote mko salama? au siku tu unaamua kumwambia mwenzio haya tuanze kutumia kinga leo?
Umeoa mke wako mrembo tu kila ukimwangalia anakutamanisha, halafu ghafla anaanza kukushwishi mtumie kinga?!!!! Hapana , sijui kama ni rahisi hivyo?
 
ucje kuniambia wife alimsamehe......

We acha tu dada - alimsamehe but ndo vijembe vikatawala, bibi alikuwa akicheka huyo na kila mara utasikia eh Aksante Mungu kwa kunilipia, au ah malipo ni hapa hapa duniani. Mume alitamani kufa kabla ya siku ati!! Hata sijui iliishia wapi ah
 
Yaani kutokana na posts zetu napata picha kuwa living single is better than marrying as long as HIV (through sex) is concerned. Cause it seems ni ngumu kwa wanandoa ni ngumu kuwa waaminifu and yet matumizi ya kinga ndoani yanapingwa kwa nguvu zote!! Jamani sasa kwa nini tunaoana? ili tuuane? Najua kuna exceptions but wengi wetu tunarisk maisha yetu kwa kitu ndoa...... laiti
 
MJ1,
U want to be safe CONDOMIZE hata kwenye ndoa shosti!UKWELI SI NDIO HUU?
Tumeshaambiwa kuna hatari zaidi humo - bado utajidanganya tu kuwa uko kwenye B ? 1 faithful partner?
A- Abstain
B- Be faithful
C- Condomize
D - Do-It-Yourself

Endelezeni alphabet kuhamasisha kupambana na ukimwi!

E-Educate Others
 
Ni ngumu kutumia Condoms kama mko kwenye ndoa hapa tutaandikaaaaaaaaaaaa wewe mwisho wa siku ukweli unajulikana
 
Yaani kutokana na posts zetu napata picha kuwa living single is better than marrying as long as HIV (through sex) is concerned. Cause it seems ni ngumu kwa wanandoa ni ngumu kuwa waaminifu and yet matumizi ya kinga ndoani yanapingwa kwa nguvu zote!! Jamani sasa kwa nini tunaoana? ili tuuane? Najua kuna exceptions but wengi wetu tunarisk maisha yetu kwa kitu ndoa...... laiti
Ur right Mwanajamii nobody is safe and we are in high risk... I agree with all those who say it is difficult for a man to stay faithful in his marriage... but in my opinion this man need to be educated on how to protect himself and his family from this horrible disease. But before we come into conclusion don't you think we need to know what is the reason preventing MEN and WOMEN to use condoms?
 
Ni ngumu kutumia Condoms kama mko kwenye ndoa hapa tutaandikaaaaaaaaaaaa wewe mwisho wa siku ukweli unajulikana

I couldnt agree with you more.... lakini Firstlady they can still use if they wanna screw other women/men...I mean other than their spouses

HEY GUYS that doesn't mean I'm ok with cheating....
 
chrispin kwani na wewe huwa unacheat??
Naogopa kusema uongo.
Soma katikati ya mistari hapo binamu........

ahsante sana muhishimiwa M-BUNGE,swali lako ni zuri....
eeeeeh!MUHISHIMIWA WOS majibu tafadhali................
Nimeshamjibu mheshimiwa....
ASIYEKUWA NA DHAMBI NA AWE WA KWANZA KUNIRUSHIA JIWE!!
Tumeambiwa hata kutamani tu tayari umeshatenda dhambi,
Ni heri nitende dhambi kwa kufaidi kuliko kutenda dhambi kwa kuangalia:
Aftaroo: DHAMBI ZOTE SAWA MBELE ZA MUNGU!
 
Ur right Mwanajamii nobody is safe and we are in high risk... I agree with all those who say it is difficult for a man to stay faithful in his marriage... but in my opinion this man need to be educated on how to protect himself and his family from this horrible disease. But before we come into conclusion don't you think we need to know what is the reason preventing MEN and WOMEN to use condoms?
You sure do!

I couldnt agree with you more.... lakini Firstlady they can still use if they wanna screw other women/men...I mean other than their spouses

HEY GUYS that doesn't mean I'm ok with cheating....
:rofl::confused3:

100% abstinence R u kidding me? Ngabu i have trouble reading between ur lines

Noname mambo?
 
Ur right Mwanajamii nobody is safe and we are in high risk... I agree with all those who say it is difficult for a man to stay faithful in his marriage... but in my opinion this man need to be educated on how to protect himself and his family from this horrible disease. But before we come into conclusion don't you think we need to know what is the reason preventing MEN and WOMEN to use condoms?

I tried to ask them men here how do they feel when they are doing it with and without condom? Are they being uncomfortable?? if yes how so that we try to see if we can design condoms that are more confortable au will they be willing if we- the women- wear it na wao wapige without??
 
And what did we said?
 
You sure do!

:rofl::confused3:

Noname mambo?

Chrispo I am not ok with cheating, I donno what am gonna do if I find out my man is cheating... but i hope he is a smart enough to use condom incase...thats what I think should happen but men never fails to disappoint me..:whip: so I don't set my expectation high...

What abstinence? thats outta question it is impossible
 
So far Babu hili swali nyote mmelipotezea!
Mi sikulipotezea mjukuu. Msimamo wangu ulikuwa huu:
Kwa kuwa haka kagonjwa kameingia sehemu mbaya sana?
Na kwa kuwa asilimia kubwa ya wanaume si waaminifu,
Na kwa kuwa wanaume hawajaumbwa kwa ajili ya Mwanamke mmoja...
Then: Wanapocheat WANALAZIMIKA KUTUMIA KONDOM.
Unaporudi home kwenye sakramenti takatifu ya ndoa: CONDOM IS STRICTLY PROHIBITED!
GOD forbid!
Likewise, na nyie mkitoka nje (Mungu apitishe mbali) tumieni kondom.
CONDOMS MUST BE USED ONLY AND ONLY WHEN WE CHEAT.
Have I made made myself clear?

Answer the question please... what did u say?
Tayari Nshajibu.
Any more question?
 
Naogopa kusema uongo.
Soma katikati ya mistari hapo binamu........

Nimeshamjibu mheshimiwa....
ASIYEKUWA NA DHAMBI NA AWE WA KWANZA KUNIRUSHIA JIWE!!
Tumeambiwa hata kutamani tu tayari umeshatenda dhambi,
Ni heri nitende dhambi kwa kufaidi kuliko kutenda dhambi kwa kuangalia:
Aftaroo: DHAMBI ZOTE SAWA MBELE ZA MUNGU
!

Eh!! :confused3:
 
Mi sikulipotezea mjukuu. Msimamo wangu ulikuwa huu:
Kwa kuwa haka kagonjwa kameingia sehemu mbaya sana?
Na kwa kuwa asilimia kubwa ya wanaume si waaminifu,
Na kwa kuwa wanaume hawajaumbwa kwa ajili ya Mwanamke mmoja...
Then: Wanapocheat WANALAZIMIKA KUTUMIA KONDOM.
Unaporudi home kwenye sakramenti takatifu ya ndoa: CONDOM IS STRICTLY PROHIBITED!
GOD forbid!
Likewise, na nyie mkitoka nje (Mungu apitishe mbali) tumieni kondom.
CONDOMS MUST BE USED ONLY AND ONLY WHEN WE CHEAT.
Have I made made myself clear?

Ah babu nimekuelewa aksante but bado kuna walosema ni ngumu kutumia condom nje constantly kwani baada ya mazoea tu watu wanatend kuaminiana so they stop using kinga. na kama nyumbani ndo GOD Forbid si unamletea mwenzi wako kipenzi??
 
And what did we said?

usiseme sikukuonya...ulikunywa maji alokunywa rahisi wako jana Diamond jubilee???

biggy smthing is very very wrong with u!!

please condomize!!!
 
Back
Top Bottom