Jamani hiyo ndiyo kawaida ya binadamu..."Kipya kinyemi..."
Mambo ya mitandao ni mapya kwa jamii zote na kwa hiyo watu bado wanajifunza...
Waache wachafuke kwani, "wasipochafuka watajifunzaje"? Ila baada ya hapo lazima watajua mahali salama pa kuchezea!
Babu DC!!
ulemhola!
Shkamoo babu lao.
Nimekumiss
mi napitamo......
tolegho wabhabhamhola du!
pita maama tutakukutapo
Mhhhhhh,
Sijambo mjukuu wangu kipenzi! Zombie hajambo?
Babu DC!!
Mi nadhani issue si kuwa muwazi au msiri... ila unakuwa muwazi na nani...kuna watu wana wapenzi lakini wamejituliza na wapenzi wao...sasa hata wakiamua ku share their happiness na marafiki kuna ubaya gani? unajua ukipenda kweli kweli you would like the whole world to know...that's natural
Kuna wale wenzangu na mie kwa mwaka wapenzi kumi...
Sasa hata uweke status gani haibadili uhalisia wa tabia ya ntu na ntu...
Kuna watu wasiri lakini wanajulikana...wao kutwa wanaweka 'complicated' na 'single' kumbe maana yake hata wenyewe hawajielewi wako na nani...na jamii ndio kabisa haiwaelewi...hivyo hizi status hazibadili tabia...ni jinsi ulivyo...
Unaguna nini Babu?
Hupendi kumwona mjukuu wako amestaafu mapema? Mpira kwapani sasa hivi:cool2::cool2:
Hongera sana, ila ujitahidi usijekuwa unabeep...Kustaafu wakati mambo yanakuwa matamu siyo rahisi ujue??
He he he he, wakuu wa majeshi hustaafu mapema zaidi, makoplo ndio hubeep beep.
Zombie anakusalimu.
hawawezi kujifunza wala kujirekebisha katika hilo maana ni nature, ni sawa na kumwambia mwanamke asipige vigelegele kwenye harusi