suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
sasa huyo dada hebu mwambie ukweli uone kichambo atakachokupatia tunachokifanya tunaangalia tu kwa sababu hakuna asie na mpenzi wala mume dunia hii ya sasa, kwa mfano kila mtu aamue kumueka wake hadharani patatosha, ni ulimbukeni tu sometimes hua nasema kuwa labda ni utoto wakikua wataacha Miss Kim
Last edited by a moderator: