Mahusiano na Mitandao ya Jamii

Mahusiano na Mitandao ya Jamii

Wewe kama umezoea kuweka picha za mashamba ya vitunguu na kilimo cha mbogamboga huwezi kabisa kuwaelewa hao unaowaita malimbukeni...
 
Ngonalugali
Ni bora angalia maisha yako na familia yako mkuu hawa wanawake anaweza kula pesa yako na usijue kapotelea wapi... wiki iliyopita sitakuja kuisahau katika maisha yangu. nilipata msichana mmoja wa chuo basi tukaanza relation, ndani ya hiyo wiki nimetumia laki tatu(3) kitu ambacho sikufikiria kwenye maisha yangu. ye kazi yake kubwa ni kwenda out kila siku na kuniomba pesa hovyohovyo. Nilikuwa nawasikia tu watoto wa chuo nimekoma nao.
 
Last edited by a moderator:

Ni full matatizo watu wa mitandao ya kijamii. Alinificha id yake ya fb ili tusiwe na marafiki huko eti kisa mimi niko naye chumba kimoja wakati kila mmoja ana kazi yake na mara nyingi tunaonana wikendi tuu. Ghafla nataka 1.5mil, sijui za nini?? Ukiomba maelezo hupewi. Aende mwana kwenda na wala sijutii hela aliyokula. Na akija tena na shida ya laki mbili nitampa laki tatu afu nimwambie pita huko!! Mhhh, nimekumbuka mama yangu anateseka kijijini. Nitampa 5000 aweke bundle ya whatsapp ili awaonyeshe maharamia wenzake kuwa amenibwaga!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu uliachwa nini ukakuta mdada ameshatafuta mwengine
 
Dah, pole sana mkuu ila nachoamini ni kwamba kila kitokeacho kina sababu and what was meant to be shall be. Huyo uliingia choo cha kike aisee na afadhali alijiondokea zake bado mapema kabla hajakuingiza kingi. Mm huwa nasikitika sana kuwaona wadada wanao kurupuka na kuanza kuwatangazia halaiki juu ya mambo yao ya siri, utakuta mtu hata hajatulia na kumjua mtu vizuri ila tayari keshapost picha za huyo mpenzi wake na kuweka maneno kibao siku wakija tibuana inakuwa balaa!

Tunakuombea kwa Mungu umpate mke mwema atakaye kufaa katika ujana na uzee wako, all the best bruh!
Ngonalugali
 
Last edited by a moderator:
Some lessons are best learned the hard way! Usijutie kumfahamu huyo binti ila shukuru kwa funzo alilokupa coz next time you come across such people utajua ni jinsi gani ya kudeal nao. Watoto wa chuo achana nao mkuu, ni shidaaaaa!!!!

Ngonalugali
Ni bora angalia maisha yako na familia yako mkuu hawa wanawake anaweza kula pesa yako na usijue kapotelea wapi... wiki iliyopita sitakuja kuisahau katika maisha yangu. nilipata msichana mmoja wa chuo basi tukaanza relation, ndani ya hiyo wiki nimetumia laki tatu(3) kitu ambacho sikufikiria kwenye maisha yangu. ye kazi yake kubwa ni kwenda out kila siku na kuniomba pesa hovyohovyo. Nilikuwa nawasikia tu watoto wa chuo nimekoma nao.
 
Miss Kim

Kwa hiyo ww ukiachana na mtu unamblock kbs?

Mm kwny mtandao kuna pic za mke wangu na mwanangu...sijawahi kuweka pic ya demu wangu kbs lkn sijablock ma-ex zangu we stil communicate when necessary huwa siachani na mtu kwa shari.

Mkuu una mke na mtoto na bado unawaza kuweka "pic ya demu wako". Demu wa nini kama una mke, ina maana huyo hachukui nafasi ya huyo demu ? Baada ya kuwa na mke kuna nafasi ya demu tena !!!
 
pasi na hapo mpenzi wangu yeyote hatoonekana ktk picha Si ya WhatsApp si FB...Sipendi...Sababu mapenzi ya siku hizi mwezi mpo pamoja mwezi hampo pamoja....

Miss Kim

Mbaya zaidi ni kwamba yeyote atakayeonekana wengine watamandi...lol
 
Dah, pole sana mkuu ila nachoamini ni kwamba kila kitokeacho kina sababu and what was meant to be shall be. Huyo uliingia choo cha kike aisee na afadhali alijiondokea zake bado mapema kabla hajakuingiza kingi. Mm huwa nasikitika sana kuwaona wadada wanao kurupuka na kuanza kuwatangazia halaiki juu ya mambo yao ya siri, utakuta mtu hata hajatulia na kumjua mtu vizuri ila tayari keshapost picha za huyo mpenzi wake na kuweka maneno kibao siku wakija tibuana inakuwa balaa!

Tunakuombea kwa Mungu umpate mke mwema atakaye kufaa katika ujana na uzee wako, all the best bruh!

Asante kwa maombi yako nami naamini katika sala. Sikuwahi kuwa zoba katika mapenzi ila hili limenifunza kitu flani. Siku zoote nilikuwa naamini kuwa watu huwa wanaachwa kwa kutowajali wapenzi wao kumbe mengine ni manungayembe tu, yako mjini ku-test ladha tofauti. Ukimuona usoni utadhani binadamu, kumbe rohoni ni kinyamkera. Huenda rohoni anadhani itaniuma asijue kuwa nilikuwa nalipa ada kwa ajili ya tuition, nimeshajifunza sasa nakuwa makini zaidi.
 
Huwa naenjoy sana nikiona malovey dovey ya nguvu .....mara zishafutwa. Najua manyanga chini
 
Back
Top Bottom