Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,064
- 18,367
Huwa nacheka sana Kila nikiona nyuzi za hivo, sijui hii vita itaisha lini humu ndaniHahaha kwahili lazima niwasemee
Mm mzima sana hofu kwako tu Ngushi
[emoji23 ]Huwa nacheka sana Kila nikiona nyuzi za hivo, sijui hii vita itaisha lini humu ndaniHahaha kwahili lazima niwasemee
Mm mzima sana hofu kwako tu Ngushi
[emoji23 ]
Huwa nacheka sana Kila nikiona nyuzi za hivo, sijui hii vita itaisha lini humu ndani![]()
[emoji23 ]
Nyie si huwa mnaponda vibamia vyetuHahaha hii vita haiwezi isha sijui tumewakosea nini wanaume wa jf na sisi tunataka kupendwa

Aonje kwanza kama kunanoga bakiInahitaji akili kubwa sana mkuu,
Wewe angalia moyo wako kama unaridhia hilo bila kinyongo, kama unahisi hofu moyoni mpotezee utakuja jutia maamuzi yako huko mbeleni.
Utamu wa K haufichi tabia zinginezo, awe makiniAonje kwanza kama kunanoga baki
Ukiona rojo limezidi sepa Mkuu
Kwahiyo kama wamezaliwa na single mom nao wazalishe single mom??Halaf wakato asilimia nyingi tunajua wamezaliwa na single mom mpaka leo wanakua na kuja kuponda jf
Daaa kweli point taken namega kisela tu.....ahMY FRIEND SHIDA YA MWANAMKE ALIYEKWISHA ZAA NI HAPA...ANANG'ANG'ANIA KUBAKI NA MTOTO WAKE HATA MPAKA KWENYE NDOA YAKE WAKATI ANAJUA WAZI BABA WA MTOTO YUPO HAI NA ANAJIWEZA TU...HILO NI TATIZO...
KWA SABABU UTAKUWA UNAJIUMIZA BURE TU...UNALELEA WENZIO..NI BORA AWE NI MTOTO YATIMA...HUYO BILA SHAKA LEA...
HAWA LINAPOTOKEA TATIZO LA MTOTO UTABIDI UWAPISHE WADISCUSS WAZAZI WAWILI...NI DHARAU...
HAPANA HAKUNA HESHIMA...RAHA NI KUTOA BIKRA...IKISHINDIKANA BEBESHA MIMBA WA KWANZA...
BABA KUEPUSHA SHARI...ACHANA NA HUYO DADA...
HAKUNA MECHI INAYOANZAGA 1 BILA TAYARI...