Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,400
Kibaya zaidi wanaowakandya masingo maza na wao ni masingo faza waliowatelekeza watoto wao.Ushauri utakaopewa na wanaume wenzio wa jf kuhusu single mother ni kwamba hawafai usiendelee nae mana single mother kwao ni kitu cha ajabu sana hakitakiwi kuwa na mahusiano
Mkuu fanya vile moyo wako unapenda kuwa na mtoto sio tatizo kama
wenyewe mnapendana
Hivi hawa masingo maza kwani wanajizalisha wenyewe?