Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,667
Unavyomwambia piga sepa angekuwa Dada yako ungejisikiaje? Na ni nani aliyewaaminisha Mwanamke aliyezaa kapoteza Dira??? Mngejua hawa ndiyo Strong Women. Nadhani na mifano unayo.Acha upoyoyo ww..hapo piga sepa, huyo kashapoteza dira atakuletea majanga tu