Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,913
Habari wakuu poleni ni mihangaiko ya kutafuta ridhiki ya kila mtu naenda kwenye lengo la mada kuna msichana mmoja wakati tuko Olevel alikuwa ni mchumba wangu sasa matokeo ya advance yakatutenganisha kwa miaka kama miwili hivi sasa majuzi nimekutana nae kawa mzuri balaa aisee nikaomba contact ile namuuliza mapenzi yetu yanaendelea kwa season mpya akasema ndio ila mimi sasa hivi nina mtoto nimezaa na mt mwingine aisee yaani niko in dillema ushauri tafadhari wapendwa.