Mahusiano mengi kwa sasa ni 'fake'

Mahusiano mengi kwa sasa ni 'fake'

Ukipenda, usitegemee chochote kutoka kwa unayempenda. No Expectations, No Disappointments!

Sio lazima mtu akupende na wewe ndio umpende. Watu wengine huwa hawajipendi, hawapendi hata ndugu zao halafu unategemea wakupende wewe..how come?

So my friend, make it easy for you. Just be a giver of love. Maana mwisho wa siku kinacho count ni vitu ulivyofanya na sio ulivyofanyiwa [ kama msaada uliotoa, namna ulivyojali, namna ulivyopenda na kusamehe n.k. ]

Mtu akikuacha jiulize swali moja tu;

"Je ulimpenda na kuishi naye vile inavyotakiwa?"

Kama jibu ni ndio, then nothing to worry about. Yeye ndio anatakiwa ajute kumzingua mtu aliyempenda for real. And you know what? Real is Rare!

Be Proud & Good Luck!
 
fake fake fake...

Mwanamke anashindwa kusimama kwenye nafasi yake kama mwanamke, na mwanaume pia anashindwa kusimama kwenye nafasi yake - kwa kiasi kikubwa hapa wanawake wengi ndio wakosaji..

Mungu alimuumba mwanadamu akampa kila mmoja jinsia yake na tabia zake, mwanadamu mwenyewe anajaribu kwenda nje ya uumbaji kwa kufanya yale anayoona ndio sahihi kwake - watoto wa kike hapa pia ni wengi walioenda nje ya uhalisia..

Kuiga mifumo ya maisha ya jamii nyingine hasa wazungu huku mkiwa hamna basics za kuishi hayo maisha, Mzungu wa kike amelelewa kwenye misingi ya mifumo ya kwao inayofit kwao, mwanamke mwafrica hana msingi wa maisha unaofaa kwenye mazingira yake akiangalia tamthilia na kuwaona wazungu wanavyoishi analeta tabia hizo nyumbani..

Binafsi mpaka sasa naona jamii ya wanawake wa kiafrica ndio inateseka sana na mfumo wa maisha kuliko wahindi, wazungu na waarabu na hili limekuja baada ya mama zetu kuamini wanaweza kushindani na wanaume pasipo kuelewa concept ya uumbaji..ndio maana leo hii tunakutana nao kwenye mabaa, maclub ya usiku, wanazurula hovyo mitaani, wajeuri, kupandisha sauti nk..
 
pochi nene ndiyo inapendwa, kuna mdau humu aliandika uzi unaumiza sana,
kuwa alikuwa anapiga stori na mke wake wa ndoa sasa akamueleza mke kwani nini shoga yako fulani hajaolewa yuko tu, mke akamjibu hata mimi ni shida tu zimefanya niwe ndani.
 
Tanzania hata Kuanzisha Relationship unatakiwa uwe na Mtaji.
 
If your marriage didn't work, stop teaching the singles to hate marriage. It's your marriage that failed not theirs!
 
Inawezekana ni kweli lkn sasa hv mapenzi ya kweli hakuna na hii ina apply kwenye pande zote mbili ke na me.

Unaweza kabisa kumpenda mtu kwa dhati, ukamthamini na kumuheshimu pia, usimuombe hela na uko unafanya shughuli zako za kuingiza kipato chako, ukimshauri na kumtia moyo lkn kumbe mwenzio anakuchukulia kina one night stand! Anakuona fala flani hv, anakuona boya mmoja usiyejielewa! Its real real hurts!

I think now ni bora kujipenda mwenyewe na mahusiano yawe kama bonus track. Usiwaze au kutegemea kuwa na mahusiano hai, utaumia sana

toa dukuduku lako mama ha ha 😃😃😃😃
 
Ukipenda, usitegemee chochote kutoka kwa unayempenda. No Expectations, No Disappointments!

Sio lazima mtu akupende na wewe ndio umpende. Watu wengine huwa hawajipendi, hawapendi hata ndugu zao halafu unategemea wakupende wewe..how come?

So my friend, make it easy for you. Just be a giver of love. Maana mwisho wa siku kinacho count ni vitu ulivyofanya na sio ulivyofanyiwa [ kama msaada uliotoa, namna ulivyojali, namna ulivyopenda na kusamehe n.k. ]

Mtu akikuacha jiulize swali moja tu;

"Je ulimpenda na kuishi naye vile inavyotakiwa?"

Kama jibu ni ndio, then nothing to worry about. Yeye ndio anatakiwa ajute kumzingua mtu aliyempenda for real. And you know what? Real is Rare!

Be Proud & Good Luck!
Thread closed
 
Back
Top Bottom