Mahusiano, mapenzi, urafiki

TEN REASONS FOR CRISIS IN MARRIAGE

1. Tension on account of lack of trust, or faith.

2. Misunderstanding the meaning in communication of the partner due to ignorance of the natural difference in the other gender's communicational approach.

3. Stress, rigidity and suspicion.

4. Wife doesn't like her man to be: - untrusting, condemning, uncaring, too much dependent on her, irresponsible, insensitive, impulsive, unkind, thoughtless, unloving, too offending, critical, and rejecting.

5. Husband doesn't like his woman to be: - lazy around the house, unattractive, sexually cold, emotionally serious, noisy, sneaky, overtly critical, quarrelsome, bad mother, inflexible, too independent and bold, disrespected nagging, negative to his relatives, too dominating and too emotional.

6. Clash between their personal values.

7. Lack of adjustment, flexibility, and adaptability in the interest of marriage, or family.

8. Expectation of (one sided parental) affection instead of (mutual) love in marriage.

9. Non-adhering to socio-marital values.

10.Criticizing coercing, coaxing, evaluating, masking, blaming, and accusing are the psychological axe, which hurt the feelings.
 
i'm a bachelor, kwahiyo nimekosea njia naona wenye ndoa zao wamejaa tele hapa,,poleni wakubwa nani waliwashauri muoane nyie? hahaha am just joking bana ila mimi kuoa bado maana kila siku hapa yanakuja mabaya ya ndoa tu, mazuri ya ndoa ni machache sana......ndooooooaaaa wait me kidogo
 
In some instances, kutokubali tendo kunatokana na kutokuwa na hamu na mwenzako baada ya kuwa amekuumiza. Humkomoi, you just don't feel like being together... Walizungumziaje hilo Rev?

Sawa kabisa ila cha muhimu ni kuongea na kumaliza tofauti kiungwana. Hebu fikiria unamtesa mwenzio kwa miezi mitatu! Mnalala wote ile yale mambo ni NO
 
Naam Mchungaji matatizo yameshatokea na jawabu siyo tena kuongeza matatizo hayo kwa kumnyima mwenzio bali kukaa chini na kuyamaliza kiungwana ili muendelee na ndoa/uhusiano yenu/wenu. Kuamua kumnyima na kuendelea kulikuza tatizo lilikuwepo na kuwa kubwa zaidi.
 
yaani umeniudhi halafu bado utake kuona natoa ushirikiano kny tendo la ndoa????...mnh huu sasa ni ubabe na kny ndoa HAUKUBALIKI.....!!!:whoo::whoo:
 
Kwanza nianze kwa kuwatakia Mwaka mpya 2011 uwe wa fanaka na mafanikio. Kwangu Mwaka uliyopita ulikuwa na changamoto nyingi sana ila nashukuru Mungu kwa yote.

Leo nitapenda zungumzia silaha zitumikazo kwenye kuangamiza mahusiano katika ndoa. Urafiki wa kimapenzi hudumu zaidi na kuwa na faraja pale tendo zima takatifu la ndoa linapofanyika kwa maridhiano ya wote. Huleta matatizo iwapo mwanamke anatumia sex kama silaha, siku akichukia basi mnapeana migongo ama mzungu wa nne. Mara nyingi wadada wanaotumia njia hii husababisha wenzi wao kutafuta wagombea wenza. Tendo la ndoa ni muhimu katika kuboresha mahusiano tafiti nyingi zimeonyesha hilo, sitaki kurudia umuhimu wa sex kwenye maisha ya kila siku. Wanawake wanaotumia Ngono kama silaha mara nyingi hawadumu kwenye ndoa zao maana hujifananisha wao na kama chombo cha burudani ambayo anaweza mpatia mteja mwingine.

Ulevi kupindukia, pamoja na kuwa na madhara kiafya pombe husababisha kuyumba kwenye suala zima la ndoa. Wanaume walevi wengi wao wamekuwa hawana uwezo wa kukidhi haja za kingono kwa wenzi wao. Wanawake waliolewa na wanaume walevi wanaongoza kwenye suala zima la cheating, tafiti zinaonyesha hivyo.

Kudumisha ndoa cha muhimu ni kusikilizana na kupeana kile roho na matamanio ya mwili yanachohitaji. Sababu za kichwa kinauma, leo sijisikii ama baba anarudi amelewa kila siku na kuishia lala sebuleni ni hatari sana kwenye ndoa.

The Most Rev Masanilo ni mtafiti huru aliyebobea katika masuala ya Mahusiano, mapenzi na urafiki
Red: HEshima mbele...imitulia hapo
 
"....Nina mwezi wa 3 sasa sijamruhusu kunigusa"...!

Ni jana tulikuwa na mkasa wa aina hii ukiwa umeletwa na mdada ambaye ni family friend wetu, kisa amepata habari kuwa bwanake ambaye anafanya kazi na kontrakta wa barabara ya Arusha-Namanga, ana mahusiano na mwanadada mwingine...

Kwa ufupi ni wazi silaha hiyo ya kunyimana tendo takatifu la ndoa ni ya hatari sana...maana party inayolalamika lazima itatafuta namna fulani ya kumkomoa mwenzie kwa kuwa na mahusiano ya tofauti nje ya ndoa, halafu meli yote inakuwa inazama taratibu...
Maongezi ni ufunguo...familia zipate wakati muafaka wa KUSEMEZANA...kwa mazuri na mabaya, hapo mndipo miarobaini ya shida zote itatolewa.

Hahaaa Paka Jimmy umenifurahisha sana. Nafikiri hii ni strategy ambayo wanawake wengi tulikubaliana kuitumia mwaka 2010 na tutaendelea kuitumia mwaka 2011 kama njia muafaka ya kuwatest wanaume wetu na uvmilivu wao. Mimi nina rafiki yangu na yeye ameitumia sana hii move. Ila yeye kwa kuwa hana uhakika kama mume ana affair au hana aliamua kuwa anaitumia kwa pozi. Anampa mara moja kwa mwezi halafu anasingizia kuumwa mwezi mzima ili asitoe tena. Amefanikiwa sana kwa kweli maana mume wake amejirudi na anatulia nyumbani akitumainia kuwa wakati wowote zali la kupewa unyumba linaweza kumjia.

Wasiwasi wangu kwenye hii trick ni je mwanaume akihisi kuwa mkewe anafanya haya kwa makusudi si na mume ndio ataanza kukichakaza huko nje? Namuhurumia sana rafiki yangu maana najua yeye ni mwanamke aliyejitunza na hata kama ana mabwana hawawezi kuzidi watatu. mumewe ndio tatizo maana ni popular sana kwa wadada na kabla ya kuoa alikuwa nao wa kutosha ingawa ameficha sana makucha yake kwa heshima ya mkewe na mtoto wao.
 
Caren hiyo avator yako wenzako unawafanya washindwe kumtumikia mkoloni jamani chupi shida makwapa nayo apo chacha kwenye avata duuuuu
 
Excellent expose Superman,
I think you have captured everything so well in a few rules.

TEN REASONS FOR CRISIS IN MARRIAGE

1. Tension on account of lack of trust, or faith.

2. Misunderstanding the meaning in communication of the partner due to ignorance of the natural difference in the other gender's communicational approach.

3. Stress, rigidity and suspicion.

4. Wife doesn't like her man to be: - untrusting, condemning, uncaring, too much dependent on her, irresponsible, insensitive, impulsive, unkind, thoughtless, unloving, too offending, critical, and rejecting.

5. Husband doesn't like his woman to be: - lazy around the house, unattractive, sexually cold, emotionally serious, noisy, sneaky, overtly critical, quarrelsome, bad mother, inflexible, too independent and bold, disrespected nagging, negative to his relatives, too dominating and too emotional.

6. Clash between their personal values.

7. Lack of adjustment, flexibility, and adaptability in the interest of marriage, or family.

8. Expectation of (one sided parental) affection instead of (mutual) love in marriage.

9. Non-adhering to socio-marital values.

10.Criticizing coercing, coaxing, evaluating, masking, blaming, and accusing are the psychological axe, which hurt the feelings.
 
The Most (Right) Rev Masanilo:

Hivi kuna uhusiano wowote wa tendo la ndoa na pombe?

Wengine bila mzinga mmoja Konyagi mambo ya tendo la ndoa hayawezekani!
 
Kwanza nianze kwa kuwatakia Mwaka mpya 2011 uwe wa fanaka na mafanikio. Kwangu Mwaka uliyopita ulikuwa na changamoto nyingi sana ila nashukuru Mungu kwa yote.

Leo nitapenda zungumzia silaha zitumikazo kwenye kuangamiza mahusiano katika ndoa. Urafiki wa kimapenzi hudumu zaidi na kuwa na faraja pale tendo zima takatifu la ndoa linapofanyika kwa maridhiano ya wote. Huleta matatizo iwapo mwanamke anatumia sex kama silaha, siku akichukia basi mnapeana migongo ama mzungu wa nne. Mara nyingi wadada wanaotumia njia hii husababisha wenzi wao kutafuta wagombea wenza. Tendo la ndoa ni muhimu katika kuboresha mahusiano tafiti nyingi zimeonyesha hilo, sitaki kurudia umuhimu wa sex kwenye maisha ya kila siku. Wanawake wanaotumia Ngono kama silaha mara nyingi hawadumu kwenye ndoa zao maana hujifananisha wao na kama chombo cha burudani ambayo anaweza mpatia mteja mwingine.

Ulevi kupindukia, pamoja na kuwa na madhara kiafya pombe husababisha kuyumba kwenye suala zima la ndoa. Wanaume walevi wengi wao wamekuwa hawana uwezo wa kukidhi haja za kingono kwa wenzi wao. Wanawake waliolewa na wanaume walevi wanaongoza kwenye suala zima la cheating, tafiti zinaonyesha hivyo.

Kudumisha ndoa cha muhimu ni kusikilizana na kupeana kile roho na matamanio ya mwili yanachohitaji. Sababu za kichwa kinauma, leo sijisikii ama baba anarudi amelewa kila siku na kuishia lala sebuleni ni hatari sana kwenye ndoa.

The Most Rev Masanilo ni mtafiti huru aliyebobea katika masuala ya Mahusiano, mapenzi na urafiki
kweli tupu
 
The Most (Right) Rev Masanilo:

Hivi kuna uhusiano wowote wa tendo la ndoa na pombe?

Wengine bila mzinga mmoja Konyagi mambo ya tendo la ndoa hayawezekani!

Other than helping ugly men to have sexy! Alcohol has nothing to do with performance on bed!
 
Una hakika Rev? Naomba utuwekee references kuthibitisha conclusion yako.

Huku uswahilini kuna watu wanaishi kwa msaada wa konyagi!

Nimekutana na mambo mengi sana baada ya kugoogle "alcohol and sexual libido". Nadhani kuna controversy kwenye hii kitu!
 
Una hakika Rev? Naomba utuwekee references kuthibitisha conclusion yako.

Huku uswahilini kuna watu wanaishi kwa msaada wa konyagi!

My friend here are few facts of alcohol consumption and its effect on sexuality

  • Alcohol has a "disinhibiting" effect, which can make people "loosen up" and feel more comfortable initiating or engaging in sex, kuna watu hawawezi tongoza bila kuwa wamelewa kidogo!
  • Alcohol may make you feel more socially confident and in small quantities may facilitate more socializing and sexual communication no one can deny this
  • In small amounts alcohol has been reported to have a positive impact on sexual desire and arousal.
  • At the same time, research shows that even after a few drinks sexual response is reduced.
  • In large amounts alcohol makes sex difficult to impossible. While in moderate amounts alcohol can have an impact on engaging in risky sexual behavior, walevi hawapendi condoms
  • As drinking increases both men and women will experience a reduction in sexual arousal, men may have difficulty getting erections, and both men and women may have difficulty experiencing orgasm.
Need more DC?
 
Chronic alcohol abuse inevitably has a devastating effect on sexuality
  • Erectile disorders and dysfunction in men
  • Loss of sexual desire, significant decrease in sexual arousal for men and women
  • Difficulty experiencing orgasm for men and women
Alcoholic people rare can sustain long term relationship!
 
Mhhh, ni kweli ila kwa nini msimu wa mahindi kule kwetu watu wakishapata ulanzi wanachenguka? Au inategemea na aina ya alcohol.

Mwisho...wale wanaokunywa konyagi kabla ya kumimina zege mbona wamepotea? Labda wangetupatia uzoefu wao!
 
Chronic alcohol abuse inevitably has a devastating effect on sexuality
  • Erectile disorders and dysfunction in men
  • Loss of sexual desire, significant decrease in sexual arousal for men and women
  • Difficulty experiencing orgasm for men and women
Alcoholic people rare can sustain long term relationship!

Huko umeenda mbali mchungaji...mbona hiyo iko wazi..hivi chapombe tena wa mataputapu anaweza kitu chochote duniani?
 
Ukiwa mlevi una assume kila kitu kipo constant unapiga goli moja unalala hadi kuna kucha! Ila akili inakudanganya umesugua usiku kucha lol! Ukipata labda stemu kidogo it can help! Ila umelala na viatu sababu ulikuwa Njwiiii kitu hakisimamami
 
Back
Top Bottom