TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,887
- 11,282
aah WOS... Heppi nyu yia dear!! Nice to see you, sijakuona jamvini kitambo sasaNakuunga Mkono 100% ndugu yangu....
Nomba kuongezea kwamba sex inaweza kuwa silaha ya kumnyanyasa mtu - wanaume huweza kuitumia namna hii kuonyesha ubabe.Ndio maana wapo wenye kuwabaka wake zao hasa baada yaugomvi.
Wanawake nao huweza kunyima kama silaha ya kuonyesha kutokuridhika.
Sex inaweza kuwa ishara ya upatanishi vilevile na mila na tamaduni nyingi huwa na imani au kawaida hii.
Katika ulimwengu wa sasa wenye changamoto mpya za magonjwa hatari kama UKIMWI nadhani hatuwezi kulichukulia juu juu jambo la sex na kulazimshana.Ni wakati muafaka tuweze kuongea kwa uwazi bila kuogopa na kuweka bayana kwanini siyo business as usual tena.Wanandoa wengi ndio wenye maambukizi ya VVU kufuatana na takwimu ( Rejea TMHS 2009).Hii inaonyesha jinsi gani hii dhana ya kutokunyimana kwenye ndoa huhatarisha maisha ya wana ndoa... Hili Mchungaji Masanilo nitaomba ulizungumzie zaidi kuliko kushawishi watu waendelee tu hata pale ambapo ni wazi kabisa kuwa kuna hatari.
they say sex can be used anyhow... kumbuka hata kutumia sex kupata kitu, kutumia sex kumuonyesha mtu kwamba si mali kitu, kutumia sex kuonyesha tu kwamba "yes i can"
I love this thread masa...