Mahubiri na BOOBS nje raha iliyoje

Mahubiri na BOOBS nje raha iliyoje

kwanza inavyoanza tu nawasiwasi nayo yanayofundishwa siju maana ata ukicheki kimini chake du meza imemsaidia kumsitili pia naona kila mara anaonyesha vidole viwili kama chama kimoja kinachotumia alam hizo ha!ha!kiko juu.....
 
Tena ni black buity, ila kwa hapa kweli kazi ni kazi.
 
Ndio maana Papa kajiudhuru kazi ya (utume) uchungaji ni ngumu sana kwa mwendo huu...... ??/
 
Haya ni maigizo bwana...mahubiri gani hayo ya mtu yuko kama anataka kunyonyesha??
 
Wakuu,siamini kama ni kanisa;labda ni aina mpya madanguro ya kisasa !!! Na kama ni mahubiri,basi yatakuwa kusanyiko la mbwa kwa mujibu Biblia; watu ambao hawawezi kuingia mbinguni.Soma Biblia katika UFUNUO 22:15; ISAYA 56:10-12,
 
Back
Top Bottom