JokaKuu unafafanua,Wabunge wote wa CCM walipata fedha za KAGODA kwenye kampeni zao
..kama CCM walichota fedha za Kagoda na kuzitumbukiza kwenye kasma ya fedha za uchaguzi basi wabunge WOTE wa CCM wamechafuka.
Sina neno sana na majibu yako, bali sikufurahishwa sana na aliyekuwa anakuuliza maswali, yaani mwandishi, alikufagilia sana kwa too manye leading questions hivyo kukupa mteremko.
Pia nampongeza mwandishi, lazima atakuwa ni mchanga kama gazeti lenyewe lakini huu ni mwanzo mzuri, hili gazeti siku za usoni litakuja kuwa kisu kama Tanzania daima, japo kisu chake sasa kinakwenda butu.
Nijukue na fursa hii kumpongeza Pinto na timu mzima ya Jambo leo bila kumsahau 'Mfadhili'
Mkuu wangu hii sii kazi ya Zitto peke yake ni yetu sote inclunding viongozi wengine wa Chadema... Kina Mnyika, Slaa Mbowe hata huyo Rwakatale wako wapi? Leo hii siwasikii kabisa wakiuza sera, kupinga ufisadi kiasi kwamba baadhi ya wabunge wa CCM wamechukua dhamana hiyo.Yah,it was a very good interview, but i think Zitto una tatizo moja, if you wont accept it and change, huna muda nrefu ktk ulimwengu wa siasa,wako wapo wengi tu ambao nadhani unawafaham, wakoo wapi now!!
Be carefull Zitto, sifa unazopambwa na vyombo vya habari vya watuhumiwa wa vita ambayo ulikuwa unaipgania (UFISADI) ambayo now sikusikii kabisa ukiipigania, inakushushia reputation yako especial mbele ya watu wanao think deep, hope unanisoma, its time now kwa wewe kuvishushua hivyo vyombo vya habari vinavyokupamba for nothing, otherwise utabakia midomoni mwa watu wa tabaka la chini sana as far as thinking capacity is concerned, utabakia midomoni mwa wajinga nchini na hao wanaokupamba watakaa pembeni na kukucheka,
Be carefull Zitto, sio siri, ume shake kwa kiasi kikubwa sana, sit down, settle jirudi, angukia wazee wa CHADEMA na watanzania wapendao mabadiliko nikiwa ni mmoja wao.
Pasco ni jina tuu la JF.Mpiganaji Pasco, kile kipindi cha KITIMOTO kinaweza kurudi tena? Hivi nani alikuwa "mfadhili" wakati ule tuangalie kama anaweza akafadhili tena...
Zitto cha msingi ni kuangalia misingi ya chadema ni nini na utume wa chama kwa kizazi hiki.Migogoro ndani ya chama makini ni upotevu.nimesoma post zako nyingi na ukieleza mengi hadi kipato chako kinachohalalisha wewe kumiliki magari mazuri zaidi ya matano sasa sio sifa kulipwa laki tatu na hamsini kwa siku wakati mwalimu kwa mwezi hafiki huko na unaona sawa ni upotevu.Zitto nilikuamini sana lakini sasa mhh. kuna nja mnazo ndani ya chadema za kutatua matatizo ni bora mzifuate kuliko kuanikana kwenye JF.
Bado unaweza ukafanya vizuri katika siasa zetu hizi za bongo but you have to be real and usiendekeze makundi.
... hao wanaoeneza kuwa mimi nitahamia CCM kwanza walikuwa CCM kabla, na pili wataenda CCM wataniacha mimi CHADEMA. CHADEMA kwangu mimi ni zaidi ya chama, ni Movement! Ni vuguvugu la harakati za kuhakikisha kuwa watanzania wanakuwa na demokrasia pana zaidi bila kuathiri uzalendo wa Taifa letu. Kijiji kwangu watu waliteswa kuijenga CHADEMA, watu walifungwa, vijana wenzangu walilala juu ya paa za nyumba ili kuijenga CHADEMA na toka hapo kijiji changu ch MWANDIGA hakijawahi kuwa na kiongozi wa CCM, toka mwaka 1994. Hao wanaosema mimi ntaenda CCM wajiulize wana historia gani na CHADEMA? Wana machungu gani na CHADEMA?
_Naunga mkono hoja labda wewe tu na CUF yako ndio hutaki kukubali; na kama Slaa ni target yako wala huko hayupo kabisaMhe.Zitto hapo unataka kusema kuwa Dr.Slaa alikuwa CCM na hivyo atarejea nyumbani?
-Wapo kibao ila yeye ni miongoni mwaoMhe.Zitto, ina maana wewe peke yako ndio una historia na CHADEMA?
_Du maswali mengine naona hata Zitto sijui kama ana haja ya kujibu-sio kila swali hujibiwa mheshimiwaAMA ulikuwa unatuma ujumbe gani na ni historia gani hiyo?
-Du mmhh sina la kusema mwenye ubongo anataona this too l owIna maana wewe historia ya hao vijana wa kijijini kwako ndio ya kwako ama unamaanisha nini?mbona hukuenda na wewe kulazwa juu ya paa ? unajenga historia kwenye migongo ya watu?
Yeye ni miongoni tu ndg wapo kibao wenye uchuungu na ChademaMhe.Zitto, ina maana wewe ndio una machungu na CHADEMA kuliko walioko huko ?
_unaweza kuthibitisha mama/baba hili?Ina maana wengine hawana uchungu na ndioo maana kazi yao ni kuitafuna ruzuku ya chama , wakati wewe tuu ndio huitafuni?
-Matendo ndio yatakufanya usitazamwe la sivyo yes lazima uangaliwe; maana mamluki mbona wako wengi tu na hawastahili hata kidogoMhe.Zitto, nitashukuru sana ukijibu maswali yangu kwani nimesoma hapo na kuona fumbo kubwa sana kuwa kumbe huko CHADEMA wapo wengye historia na wengine hawana historia, na nimejenga tafsiri kuwa ili uweze kuwa mwanachama na uweze kuzungumzia mambo ya chama ni lazima uwe na histori, na kama ulikuwa chama kingine basi ukija huko utakuwa kila siku unatazamwa kama mtu adui na ambaye kuna siku utarejea kwenye chama chako cha zamani, hivyo basi kwa sisi ambao tuko vyama vingine tusije?
_Naunga mkono hoja labda wewe tu na CUF yako ndio hutaki kukubali; na kama Slaa ni target yako wala huko hayupo kabisa
-Wapo kibao ila yeye ni miongoni mwao
_Du maswali mengine naona hata Zitto sijui kama ana haja ya kujibu-sio kila swali hujibiwa mheshimiwa
-Du mmhh sina la kusema mwenye ubongo anataona this too l ow
Yeye ni miongoni tu ndg wapo kibao wenye uchuungu na Chadema
_unaweza kuthibitisha mama/baba hili?
-Matendo ndio yatakufanya usitazamwe la sivyo yes lazima uangaliwe; maana mamluki mbona wako wengi tu na hawastahili hata kidogo
Maswali ya kitoto yanaudhi- au tuko ktk mipasho- watu tuko serious ukiongea ugoro pasu kwa pasu maana huna hoja- najua ni hasira ya kuambiwa ukweli uwe mstarabu- endeleza mipasho mtu wa mwambao- huna jipya hapo tafuta vitu vya maanaWanaume wengine Bwana kwa kujipendekeza tuu hawajambo, hivi amekuteua kuwa msemaji wake hapa?
Kama ni mwananmke basi wewe hujachezwa ndio maana unakuwa mpashkuna hivyo.
Uvumilivu wa kisiasa wa Rais Kikwete unanivutia sana na ninaufuatilia sana kama sifa moja ya kiongozi (tolerance).
Ujasiri na uana mikakati wa Raila Odinga unanifanya nimfuatilie na kumwiga siasa zake
Thabo Mbeki's pragmatism is admirable and worth noting.....
Uvumilivu wa kutochukua hatua dhidi ya wezi na mafisadi?
Kukubali kuwa Waziri Mkuu kibaraka kwa kukubali serikali ya mseto wakati kapokonywa ushindi?
This is a man who claimed that AIDS was not caused by HIV....you admire him?
Zitto
You have inspired me so much!. Keep it up!.
Lakini jambo moja ambalo ninaliona Chadema itaangamizwa isipokuwa makini, ni kuungana na CUF na NCCR na TLP! Ninafurahi kwamba ile coalition ya vyama vinne ilibomoka!. Ile ilitaka kuua vuguvugu la mageuzi mlilolibeba ndani ya mioyo yenu. Vyama vingine vitatu (CUF, TLP na NCCR) havina proper direction, vinaigilizia, na vingine vimetawalia na siasa za kidini, eg CUF. Kwa mfano TLP wao wanasubiri matukio yaliyofanywa na wenzao ndipo Mh Lyatonga ainuke kutoa comments. Hawana hata maono ya kuamka na kuwafanya wananchi wahamasike kudai haki zao. Nadhani wanafikiri wata - win mass support wa kujiingiza tu katika kampeni za 2010. kinachowafanya CHADEMA mkubalike ni jithada zenu za kuwaelimisha wananchi hatapasipokuwa na kampeni za uchaguzi. Hiyo ni kazi kubwa, kuliko kusubiri chaguzi kama wafanyavyo TLP nk. Believe me TLP kwisha habari yake!.
Hongera pia kwa moyo wako wa unyenyekevu kumwachia Mbowe, kugombea uenyekiti na hatimaye kupitishwa. Ulizingatia maslahi ya chama na hata taifa. Usikimbilie kugombea Urais, ninyi mwachieni Mbowe kwa sasa, hali ninyi mkikamatisha na kupambisha moto bungeni. Bila shaka nitapata nafasi ya kukutana nawe soon. You have inspired me so much.
Best regards
"Nitakuwa mtu wa ajabu sana kuingia CCM......... hao wanaoeneza kuwa mimi nitahamia CCM kwanza walikuwa CCM kabla, na pili wataenda CCM wataniacha mimi CHADEMA. CHADEMA kwangu mimi ni zaidi ya chama, ni Movement! Ni vuguvugu la harakati za kuhakikisha kuwa watanzania wanakuwa na demokrasia pana zaidi bila kuathiri uzalendo wa Taifa letu".Nukuu ya Zitto Kabwe.
Haya maneno nitayahifadhi sana ......
huyu ndio Zitto