Hivi kupitisha miswaada na sheria za Ruzuku na Madini Bungeni ndiyo ajenda waliyokupa Wapiga kura wa Kigoma Kaskazini hadi uchukulie kama mafaniko makubwa ya ubunge wako hailiwiadi sasa? Siyo tu Miswaada na Sheria haviliwi, kwa Tanzania ni kama kazi bure kwani hakuna anayefuata au kuheshimu haswa vikiwa kwenye "abstract level" kwa mtu wa kawaida kama ishu za Madini na Ruzuku. Watu tungekuelewa kama ungetaja kliniki ngapi, madarasa mangapi, mabomba ya maji na visima vingapi, barabara kilomita ngapi, nk umefanikisha tangu uwe Mbunge.
Nini matarajio yako ya baadaye?
Ninatamani kuwa mwalimu wa chuo kikuu, kufundisha, kutafiti na kuandika vitabu. Nitakapoacha siasa, hii ndio kazi ambayo ningependa kufanya. Kufundisha.
-------------------------------------------------
Nawaomba radhi tena kwa kuweka hii interview. Nadhani ni muhimu wakati huu. Naelewa kuna Zitto sana, mniwie radhi kwa hili langu mwenyewe!
aaah bwana Zitto kumbe unampango wa kuachana na siasa inakuwaje hapo wakati watu wanategemea miaka 15-20 ijayo ugombee Urais wa jamhuri ?
Nadhani kuna propaganda hapa inachezwa kuwaaminisha watu kumbe sivyo.
Siyo wabunge wote wa CCM walitumia pesa ya KAGODA. Juzi Mpiganaji Mwakyembe aliuliza, anataka kujua Richmond na KAGODA ni nani??
Ni vizuri kuwatendea haki wale wanaCCM ambao hawakuhusika.
Zitto for presidency 2010...You have my vote,
tired of this CCM thing...
Nadhani kuna propaganda hapa inachezwa kuwaaminisha watu kumbe sivyo.
Siyo wabunge wote wa CCM walitumia pesa ya KAGODA. Juzi Mpiganaji Mwakyembe aliuliza, anataka kujua Richmond na KAGODA ni nani??
Ni vizuri kuwatendea haki wale wanaCCM ambao hawakuhusika.
Labda alikuwa ananena kwa lughaSiamini kama Mwakyembe aliuliza Swali kama hilo, ila kama aliuza then nina mashaka na Kichwa cheke, maana ni yeye aliye Chair Kamati ya Kuchunguza Richmond na Akaja na Ripoti sasa anataka nani ajibu hilo Swali! Kama Hajui Richmond ni nani basi mimi na wewe hatuwezi jua.
Hili la wazee wa chama, naona Chadema wamekopi moja kwa moja toka CCM, Hicho chama kina wazee wa chama kweli? Au kina waanzilishi wa chama?
- Sio kweli.
- Nimesema sana kuhusu EPA na nimetoa nyaraka nyingi sana kuhusu EPA kwa watu na viongozi wenzangu wanaosema pia kuhusu EPA. Kwangu mimi KAGODA ni CCM kama chama na sio mtu mmoja ambao tumeaminishwa. Nimsema hapa JF toka mwaka 2008, kwamba KAGODA ni CCM! executors wa plan ni suala lingine. Nikutonye tu, i met Balali. I spoke to Balali before he died. If we want to address KAGODA once and for all we have to tackle it holistically. Wabunge wote wa CCM walipata fedha za KAGODA kwenye kampeni zao. I asked for a special audit of CCM campaign funds by CAG to CCM denial. However, i made ammendment to Political Parties bill on party finances and for the future CAG will have the power to audit books of accounts of political parties.
Kwamba sisemi kuhusu EPA ni uongo mtupu. Sio tu nimesema bali nimekuwa source ya nyaraka confidential kuhusu Wizi huu mkubwa sana kuwahi kutokea katika Taifa letu.
Ninaendelea kusema na kutafiti zaidi kuhusu MEREMETA na nimeorder special audit kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge on MEREMETA.
Rostam Aziz? What do you want me say about him?
- I better don't respond to this.
- This as well. Sina majibu
Naamini nimekujibu ndugu yangu
Mimi sichoki kukumbusha I I ... Mimi mimi.. sema bunge limipitsha mswada jamani ....... si watu walipiga kura au ?..........
However, i made ammendment to Political Parties bill on party finances and for the future CAG will have the power to audit books of accounts of political parties.
na nimeorder special audit kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge on MEREMETA.