Huu umoja ulianzishwa wakati wa chama kimoja kwa sababu haikujalisha ni wanawake wa chama gani. Kwa sasa inafaa iwe "UWCCM" kama ilivyo "UVCCM"Umoja Wa Wanawake Tanzania, hii ni jumuiya wanawake ya Chama Cha Mapinduzi.
Bado unaishi awamu ya meko ya kupigana piniKutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini....lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.
Hoja:
Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi taarifa maana Membe kaweka wazi kabisa as a matter of fact. Kwa nini Isifahamike kiongozi huyo anayebaka ofisini ni nani ili kama Membe anadanganya achukuliwe hatua kwa kudhalilisha CCM?
Bila hivyo hizi taarifa zisipopingwa zitafanya kuwe na mashaka juu ya wanawake viongozi wa CCM hasa viongozi wa kuteuliwa kuwa inawezekana ni wahanga wa ubakaji. Zingatieni kuwa kiongozi mkuu wa sasa ni mwanamke. Ukimya wa wanawake hasa UWT sio mzuri katika hili.
Hizo taarifa hazijapingwa kwahiyo watanzania tunajua kuwa ccm siyo chama rafiki wa wananchiKutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.
Hoja:
Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi taarifa maana Membe kaweka wazi kabisa as a matter of fact. Kwa nini Isifahamike kiongozi huyo anayebaka ofisini ni nani ili kama Membe anadanganya achukuliwe hatua kwa kudhalilisha CCM?
Bila hivyo hizi taarifa zisipopingwa zitafanya kuwe na mashaka juu ya wanawake viongozi wa CCM hasa viongozi wa kuteuliwa kuwa inawezekana ni wahanga wa ubakaji. Zingatieni kuwa kiongozi mkuu wa sasa ni mwanamke. Ukimya wa wanawake hasa UWT sio mzuri katika hili.
Kwani wewe siyo mwana UWT?UWT unamaanisha nini?
Huyo muuliza swali ni mwanachama piaUmoja Wa Wanawake Tanzania, hii ni jumuiya wanawake ya Chama Cha Mapinduzi.
Swali zuri sana kwa huyo sukuma gangKwa hiyo Jakamoyo ndio alikuwa anabaka ofisini?
Niko Ngerengere!
Muulize huyo chumia tumbo wa koromitjeNgerengere hakuna wanachama wa jumuiya ya uwt?
Hao waliobakwa (kma ni kweli) ni watoto wadogo? Kama hawajalalamika basi walikubaliana. Na ndivyo ilivyo kwa viongozi wengi wa CCM wanawake. Wako tayari kuhonga ngono ili malengo yao yatimie.Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.
Hoja:
Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi taarifa maana Membe kaweka wazi kabisa as a matter of fact. Kwa nini Isifahamike kiongozi huyo anayebaka ofisini ni nani ili kama Membe anadanganya achukuliwe hatua kwa kudhalilisha CCM?
Bila hivyo hizi taarifa zisipopingwa zitafanya kuwe na mashaka juu ya wanawake viongozi wa CCM hasa viongozi wa kuteuliwa kuwa inawezekana ni wahanga wa ubakaji. Zingatieni kuwa kiongozi mkuu wa sasa ni mwanamke. Ukimya wa wanawake hasa UWT sio mzuri katika hili.
mbona umechelewa sana kujua tabia za ccm ?Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.
Hoja:
Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi taarifa maana Membe kaweka wazi kabisa as a matter of fact. Kwa nini Isifahamike kiongozi huyo anayebaka ofisini ni nani ili kama Membe anadanganya achukuliwe hatua kwa kudhalilisha CCM?
Bila hivyo hizi taarifa zisipopingwa zitafanya kuwe na mashaka juu ya wanawake viongozi wa CCM hasa viongozi wa kuteuliwa kuwa inawezekana ni wahanga wa ubakaji. Zingatieni kuwa kiongozi mkuu wa sasa ni mwanamke. Ukimya wa wanawake hasa UWT sio mzuri katika hili.
Halafu ati laikuwa na ngoma!Membe hakusema kwa bahati mbaya. Yaliopita kwenye awamu ile ni mabaya sana.
Kiongozi fulani kuzaa na mke wa msaidizi wake ni jambo moja tu ambalo pengine linajulikana na angalau baadhi ya watu. Ya chini ya carper acha tu yasisemwe, ni machafu
kwahiyo wewe ulitaka azibwe mdomo asiseme?Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.
Hoja:
Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi taarifa maana Membe kaweka wazi kabisa as a matter of fact. Kwa nini Isifahamike kiongozi huyo anayebaka ofisini ni nani ili kama Membe anadanganya achukuliwe hatua kwa kudhalilisha CCM?
Bila hivyo hizi taarifa zisipopingwa zitafanya kuwe na mashaka juu ya wanawake viongozi wa CCM hasa viongozi wa kuteuliwa kuwa inawezekana ni wahanga wa ubakaji. Zingatieni kuwa kiongozi mkuu wa sasa ni mwanamke. Ukimya wa wanawake hasa UWT sio mzuri katika hili.
Kama waliweza kubaka uchaguzi hao vibwengo Akili zao zikiongozwa na division zero za akina kingae na Mahita watashindwa kuwala tigo hao wenzao?Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.