Siyo choka mbaya, ni ushahidi kwamba hakuwa muovu kwa watu wake alipokuwa madarakani kama hawa wa kiafrika. Hawa wa kwetu ni waovu kwa hiyo wanaogopa kila kitu. Pia hizi nchi nyingi za kipato cha wastani na juu si fahari "kuendesha" kama huko kwetu. Kuna Maprofessa wana magari zaidi ya matatu ndani ya nyumba zao lakini wanapanda Public Transport kwenda kazini. Ni suala la ufanisi tu wa usafiri wa umma na kutokuwa washamba wa magari.Choka mbaya hiyo,,,,
Jembe hilo,limerudi kufundisha tena masomo ya science.
Choka mbaya hiyo,,,,
Ni mfano wa kuingwa na kina mkapa ... Wapande madaladala na wao
i like that at least anaonyesha si mtu wa kubweteka