Mahitaji ya haraka ya Wafanya kazi

Mahitaji ya haraka ya Wafanya kazi

Habari wana jf.
Tunamahitajio ya:
1.Secretary
nafasi Nne.
Sifa:
Awe msichana,umri usipugue miaka 19.
Awe anajua vizuri kingereza,awe na typing speed.
Awe muislam.
Eneo la kazi ni shule za kiislam ziko tabata na kinyerezi.

2.Matron
Nafasi tatu.
Sifa:
Awe na umri usiopungua miaka 20.
Awe muislamu mwenye maadili mema ya dini.
Awe tayari kukaa shuleni.
Eneo la kazi shule ziko Tabata sanene na kinyerez mwisho.
Maombi na interview zinafanywa na Teachers' junction magomeni mapipa.
Mwombaji anatakiwa anatakiwa kuja na:
Cv.
Copy za vyeti
Passpot size mbili.
Form za usaili ni 15, 000/=tsh
Hakuna ------ mengine yoyote baada ya kazi.
Intervw na mafunzo ya kukumbusha kabla ya kwenda eneo la kazi ni buree.
Mwisho wa kupokea maombi ni jumaa tano asubuh 14/05/2014.
Ambapo mafunzo yatafanyika saa mbil asbh hadi nane mchana.
Nb.
Hatupokea tena maombi yatakayokuja siku ya mwisho zaid ya saa nne asubh.
0753-810857.

utapeli huo
 
Iyo kazi gani ya kununua fom jamani... we hata kutapeli hujui nenda kajifunze mbinu nyingine ya kutapeli hii yako ya kijinga
 
una akili sn ww utazan kwenye shule za saints waislam hawasomi hawa jamaa wanaubaguz sn
hayo mambo pande zote hutokeaga bhana kene baadhi ya taasisi za kidini, unakumbuka tangazo la kazi la vision fund tanzania?kulikuwa na kitu hiki "Only committed christian must apply " so hayo ni matakwa yao bhana kama TPDC Upper 2nd and 1st Class only needed.
 
hahahahahaha kazi unaomba unalipia usaili...nyie teachers junction asaivi mnapotea tuliwawekea imani ila inaanza kusambaratika....tangazo lenu mkaweke msikitini
 
una akili sn ww utazan kwenye shule za saints waislam hawasomi hawa jamaa wanaubaguz sn

yani hahaha wanashangaza sana,eti awe muislamu.msikitini angetoa tangazo angepata wafanyakaz huko,hapa shobo tu,or heading ingetahadharisha,nafas ya kaz kwa waisilamu tu.
 
Jk alisema malufuku wakala wa ajira inatakiwa usaili akafanye anapo kwenda kufanya kazi na sio kwenu jamani . Kwani hapo kuna dalili za wizi kuweni makini ndugu zangu na hawa watu kwani utakuta unalipwa mshara na unakatwa kwa ajili ya teacher junction ambapo ni wizi kwa serikali na pia kwa mhusika yani mwajiliwa . Haya ni maoni yangu tu na sio yako kama umekeleka na mawazo yangu nisamehe .
 
Habari wana jf.
Tunamahitajio ya:
1.Secretary
nafasi Nne.
Sifa:
Awe msichana,umri usipugue miaka 19.
Awe anajua vizuri kingereza,awe na typing speed.
Awe muislam.
Eneo la kazi ni shule za kiislam ziko tabata na kinyerezi.

2.Matron
Nafasi tatu.
Sifa:
Awe na umri usiopungua miaka 20.
Awe muislamu mwenye maadili mema ya dini.
Awe tayari kukaa shuleni.
Eneo la kazi shule ziko Tabata sanene na kinyerez mwisho.
Maombi na interview zinafanywa na Teachers' junction magomeni mapipa.
Mwombaji anatakiwa anatakiwa kuja na:
Cv.
Copy za vyeti
Passpot size mbili.
Form za usaili ni 15, 000/=tsh
Hakuna ------ mengine yoyote baada ya kazi.
Intervw na mafunzo ya kukumbusha kabla ya kwenda eneo la kazi ni buree.
Mwisho wa kupokea maombi ni jumaa tano asubuh 14/05/2014.
Ambapo mafunzo yatafanyika saa mbil asbh hadi nane mchana.
Nb.
Hatupokea tena maombi yatakayokuja siku ya mwisho zaid ya saa nne asubh.
0753-810857.

pelekeni misikitini, nchi za magaidi na kwenye madrasa
 
Utapeli mtupu! Mtu anatafuta kazi hiyo pesa ya kukulipa tena atoe wapi? Only fools rush in!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom