Mahitaji ya haraka ya Wafanya kazi

Mahitaji ya haraka ya Wafanya kazi

Techer's juction ni matapeli waliokubuhu wanawalia tu watu hela.wamewalia waalimu hela wee now wameona hawana dili coz waalimu washawashtukia ni matapeli sasa wanahamia kwenye kazi zingine.shame on u.
 
wakiomba watu 1000 mnapata 15,000,000! isije ikawa ndo mnachanga michango ya kuliwezesha kundi letu lileeeeeeee........
 
Katangaze misikitini humu hakunaga udini.
Habari wana jf.
Tunamahitajio ya:
1.Secretary
nafasi Nne.
Sifa:
Awe msichana,umri usipugue miaka 19.
Awe anajua vizuri kingereza,awe na typing speed.
Awe muislam.
Eneo la kazi ni shule za kiislam ziko tabata na kinyerezi.

2.Matron
Nafasi tatu.
Sifa:
Awe na umri usiopungua miaka 20.
Awe muislamu mwenye maadili mema ya dini.
Awe tayari kukaa shuleni.
Eneo la kazi shule ziko Tabata sanene na kinyerez mwisho.
Maombi na interview zinafanywa na Teachers' junction magomeni mapipa.
Mwombaji anatakiwa anatakiwa kuja na:
Cv.
Copy za vyeti
Passpot size mbili.
Form za usaili ni 15, 000/=tsh
Hakuna ------ mengine yoyote baada ya kazi.
Intervw na mafunzo ya kukumbusha kabla ya kwenda eneo la kazi ni buree.
Mwisho wa kupokea maombi ni jumaa tano asubuh 14/05/2014.
Ambapo mafunzo yatafanyika saa mbil asbh hadi nane mchana.
Nb.
Hatupokea tena maombi yatakayokuja siku ya mwisho zaid ya saa nne asubh.
0753-810857.
 
wabillah tofiq,,
 
Hapa inaonyesha wazi kuwa wewe ndo mwenye njaa, unatangulia kusema pesa ya usaili ili izikusanye za watanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom