Mkuu CDM ni chama cha kisasa sana kutokea Africa...CCM hawajaweza hata kudigest hata vitu ambavyo tayari vinafanyika.Kama chama kwa umoja wetu bila kujali dini, kabila, kanda, rangi wala jinsia tumekaa tukapanga namna ya kuikabili ccm iliyokuwa tayari imepenyeza mamluki wake wakiongozwa na Zitto,
Tulijiandaa sana kwaumoja wetu na sasa tunayafutahia matunda ya ushindi kimkakati,
Nawahakikishieni wanachadema kuwa kwakutumia ummoja wetu kama tulivyowashinda sasa hivi basi na 2015 tutashinda kwakishindo kulikomboa taifa letu.
Sure! Na matamko yanayotolewa na masaliti wachache wengine waliobaki katika CDM wenye tamaa za fedha. Mara utasikia tamko la mwenyekiti wa matawi wa mkoa, mara mwenyekiti wa majani wa wailaya, ili mradi ni kuweweseka tu kuona mtu wao kwisha!
Ngoma imeisha Zitto! Orodha yako ya vigogo wa CCM wenye fedha Uswisi kaichome moto - makamanda wetu watapata orodha yao na kuimwaga hadharani kama walivyofanya Mwembe Yanga 2007.
Isitoshe hiyo orodha yako kumbe ulishinikizwa na mafisadi wa CCM kubadilisha mada -- eti sasa ina vigogo wote wenye fedha katika mabenki nje na nyumba huko nje -- ili tu eti umuingize Mbowe humo!
Ile orodha ya awali ya vigogo wa serikali ya CCM waliofunguliwa akaunti Uswisi na makampuni ya uchimbaji gesi na mafuta na kuwekewa mabilioni iko wapi? Acha kutumiwa wewe!!!
Huna haja ya kukimbilia Kuchamba wakati hujamaliza Kunya, Ngoma ndo kwanza imeanza, Kuimarika au kuyumba kwa Chama hakupimwi kwa watu kujiuzulu au wingi wa Thread, Hata Mbowe anatamani watu wa Zitto wajiuzulu au wajitokeze kupinga hadharani ili wafukuzwe sasa PENGINE wameshauriwa wabakie Chamani hakuna Anaeweza kutabiri matokeo ya Mpambano, Uamuz wa kuwatimua wanaomkosoa/kumpinga Mbowe ni ushindi Mkubwa sana kwa CCM japo ni ngumu kuamini kwa sasa, Maana hata mikoani kila kiongoz anajipendekeza kwa Mbowe ili asiitwe Msaliti ila huwez kujua Dhamira na nafsi zao kwa Mbowe, Hata kama mnadhani mmeshinda msiwa Undermine sana kwa kiwango hicho !!

Kashapotea huyo mbilula akakague mabilioni ya watu wake uswisi
mbona wanajulikana wapo 50 hukuwepo nini?
Tunasubiri siku 14 ziishe
kaka ujasikia leo TAMKO la M-KITI WA MATAWI YOTE YA CDM MWANZA alivyosema ???
i went back online to look for such position i cpuldn't it find it, can i get your intake on this please ??
kaka ujasikia leo TAMKO la M-KITI WA MATAWI YOTE YA CDM MWANZA alivyosema ???
i went back online to look for such position i cpuldn't it find it, can i get your intake on this please ??
Zitto ni jiwe lililowashinda washi. Kaskazini yote makamanda mmeungana kumshambulia kwa chuki zenu za kikanda, kidini na kikabila. Ila huwa siku zote haki ya mtu haipotei hata ikiwa mission atashindwa kuikamilisha wapo kina Zito wengine watazaliwa na watapigania kuisimamisha haki na kuondoa dhulma chadema mnayofanya. Ni ishu ya muda tu.