Mahesabu ya Zitto na wapambe wake yamekwenda kombo -- namsikitikia sana!

Kama chama kwa umoja wetu bila kujali dini, kabila, kanda, rangi wala jinsia tumekaa tukapanga namna ya kuikabili ccm iliyokuwa tayari imepenyeza mamluki wake wakiongozwa na Zitto,

Tulijiandaa sana kwaumoja wetu na sasa tunayafutahia matunda ya ushindi kimkakati,

Nawahakikishieni wanachadema kuwa kwakutumia ummoja wetu kama tulivyowashinda sasa hivi basi na 2015 tutashinda kwakishindo kulikomboa taifa letu.
Mkuu CDM ni chama cha kisasa sana kutokea Africa...CCM hawajaweza hata kudigest hata vitu ambavyo tayari vinafanyika.
 
Sure! Na matamko yanayotolewa na masaliti wachache wengine waliobaki katika CDM wenye tamaa za fedha. Mara utasikia tamko la mwenyekiti wa matawi wa mkoa, mara mwenyekiti wa majani wa wailaya, ili mradi ni kuweweseka tu kuona mtu wao kwisha!

Ngoma imeisha Zitto! Orodha yako ya vigogo wa CCM wenye fedha Uswisi kaichome moto - makamanda wetu watapata orodha yao na kuimwaga hadharani kama walivyofanya Mwembe Yanga 2007.

Isitoshe hiyo orodha yako kumbe ulishinikizwa na mafisadi wa CCM kubadilisha mada -- eti sasa ina vigogo wote wenye fedha katika mabenki nje na nyumba huko nje -- ili tu eti umuingize Mbowe humo!

Ile orodha ya awali ya vigogo wa serikali ya CCM waliofunguliwa akaunti Uswisi na makampuni ya uchimbaji gesi na mafuta na kuwekewa mabilioni iko wapi? Acha kutumiwa wewe!!!

Haha...anayo kazi zitto...mimi nasubiri siku 14 nikale bia na KITIMOTO iliyoandaliwa vyema sana.Halafu ikibidi nikale na mayatima kidogo.
 
Huna haja ya kukimbilia Kuchamba wakati hujamaliza Kunya, Ngoma ndo kwanza imeanza, Kuimarika au kuyumba kwa Chama hakupimwi kwa watu kujiuzulu au wingi wa Thread, Hata Mbowe anatamani watu wa Zitto wajiuzulu au wajitokeze kupinga hadharani ili wafukuzwe sasa PENGINE wameshauriwa wabakie Chamani hakuna Anaeweza kutabiri matokeo ya Mpambano, Uamuz wa kuwatimua wanaomkosoa/kumpinga Mbowe ni ushindi Mkubwa sana kwa CCM japo ni ngumu kuamini kwa sasa, Maana hata mikoani kila kiongoz anajipendekeza kwa Mbowe ili asiitwe Msaliti ila huwez kujua Dhamira na nafsi zao kwa Mbowe, Hata kama mnadhani mmeshinda msiwa Undermine sana kwa kiwango hicho !!

Waongezeeni mbinu na fungu la hela,ila wewe uko nje ya CDM kaa hivyo hivyo,huna unachokijua kuhusu CDM,kwa taarifa yako wanachama wanaaelewa,na wameshaambiwa juu ya mifumo inayoendrsha chama.
 
Huna haja ya kukimbilia Kuchamba wakati hujamaliza Kunya, Ngoma ndo kwanza imeanza, Kuimarika au kuyumba kwa Chama hakupimwi kwa watu kujiuzulu au wingi wa Thread, Hata Mbowe anatamani watu wa Zitto wajiuzulu au wajitokeze kupinga hadharani ili wafukuzwe sasa PENGINE wameshauriwa wabakie Chamani hakuna Anaeweza kutabiri matokeo ya Mpambano, Uamuz wa kuwatimua wanaomkosoa/kumpinga Mbowe ni ushindi Mkubwa sana kwa CCM japo ni ngumu kuamini kwa sasa, Maana hata mikoani kila kiongoz anajipendekeza kwa Mbowe ili asiitwe Msaliti ila huwez kujua Dhamira na nafsi zao kwa Mbowe, Hata kama mnadhani mmeshinda msiwa Undermine sana kwa kiwango hicho !!

mbona wanajulikana wapo 50 hukuwepo nini?
 
Kweli ZZK amekwisha kisiasa, na hao mambulula wanaojidai kijiuzulu huko lindi wameona dili limeshabumbuluka sasa wanahaha hawajui pa kukimbilia..I feel mercy on them, watakula wapi maskini..Ama kweli CDM wana inteligensia ya juu sana.
 
Kashapotea huyo mbilula akakague mabilioni ya watu wake uswisi

kukagua fedha za nje sio ki vile kama anavyokwenda magic fm, Na kukejeli viongozi wake,Shirika la kimataifa pamoja na mtandao wake wa Polisi (Intarpool) Ndio wenye Jukumu la kuchunguza Fedha zilizotoroshwa kwa njia ya panya, Zitto ni kama shahidi tu wa kushuhudia lakinisio (Investigation Officer to Interpool)
Watanzania wengi wanaamini wanayosikia bila kuyaona ndio maana zitto naye kawashikilia, Leo hii pesa za umma zinapoibiwa na kutoroshwa zito anakuja na makablasha, Na kusema nina document,s za ubadhilifu wa fedha za umma, Hii alishaonq watu wengi wanapenda mambo ya kusikia,Lakin kwa wenye kufanya analysis wanangamua kumbe huu ni mchezo aliouzoea, Kuwadanganya watanzania.
 
mbona wanajulikana wapo 50 hukuwepo nini?

wangekuwa 50 Mbowe asingeogopa Zitto kuwania Uenyekiti! Kafulila alishinda Bavicha ulipofutwa, Shonza akashinda tena Umakam Bavicha, Saed Arfi akashinda Umakamu Taifa, John Heche alipitishwa kibabe na Mbowe kuwa Mwenyekiti BAVICHA Taifa lakin baada ya kuona Ukweli kuwa huko Site (Mitaani) hakuna kama Zitto nae kaanza kutengwa, wote hawa Walipita kwa Jina la Zitto halafu bado unakaririshwa Zitto anaungwa Mkono na watu 50!
 
kaka ujasikia leo TAMKO la M-KITI WA MATAWI YOTE YA CDM MWANZA alivyosema ???
i went back online to look for such position i cpuldn't it find it, can i get your intake on this please ??

look at global publisher it is there
 
Ninachofurahi ni kuwa kwa sasa CHADEMA hakiwezi kufa kwa sababu wa tanzania wengi CHADEMA kimeshaungana na mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye mioyo yao. Na sasa inaelekea kwenye mishipa ya fahamu.
 
kaka ujasikia leo TAMKO la M-KITI WA MATAWI YOTE YA CDM MWANZA alivyosema ???
i went back online to look for such position i cpuldn't it find it, can i get your intake on this please ??

Halafu awali walileta thread za porojo humu et Baregu kaachia ngazi, eti Mchungaji Msigwa kachukua nafasi ya Zitto nk nk. Nyie mccm mnaweweseka kweli kweli. Si mumchukuwe huyo tuone kama atawasaidieni chochote? Mtamgaragaza kama vile Tambwe Hiza, Kaburu, na Guninita. Kaburu nasikia sasa eti kaishia uwenyekiti wa Mkoa wa magamba!
 
Unafiki wa zitto kabwe kwenye siasa ya Tanzania mbaya sana baada ya kusimamishwa vyeo chadema kwa sasa anatapatapa kutunga matamko ya kuonyesha anaungwa mkono na wafuasi walio wengi mpango huu unaratibiwa na Grayson Nyakarungu,Habib Mchange,Mtela Mwampamba na Juliana Shonza baada ya vijana hawa walishajiunga CCM wengine wakiwa hawaeleweki mpaka leo pindi kamati kuu ya chadema ilipotoa tamko vijana hawa waliandaa Press conference ya Zitto kwenda kujibu tuhuma za kamati kuu mbele ya vyombo vya habari huku wakishangaza watu mtu kama Mtela Mwampamba mfuasi wa UVCCM anawezaje kuchagua watu wa kuingia kwenye press conference ya Zitto Kabwe??? Pamoja na hilo ikumbukwe baada ya mpango wa group la MP7 ulivyogundulika chadema na kupelekea Shonza na Mtela Mwampamba kuvuliwa uanachama ni Zitto huyu huyu alikana kuwafaham kisha akasema maneno haya "vijana simamieni misingi ya chama na sio watu katika chama" imekuwaje yule aliyemkana hamjui leo anachagua watu wa kuingia kwenye press conference yake huku akiwa mwanachama hai wa CCM?? Grayson Nyakarungu huyu kwa sasa anazunguka nchini kurubuni vijana watoe matamko hasa wa vyuo vikuu kwa mgongo wa CHASO kupinga maamuzi ya kamati kuu huku wakishirikiana na Adam Chagulani pamoja na Habib mchange wanaenda kuwalipa vijana na kuwalisha tamko walitoe kwenye vyombo vya habari kumnusuru Zitto huu ni unafiki mkubwa na hauta mnusuru Zitto hakuna aliye maarufu kuliko chama fungu walilotoa CCM la kumnusuru Zitto litawaumbua tena inastajabisha sana CCM kuumia sana kwa kusimamishwa Zitto wakati kama chama pinzania ingekuwa ni furaha kwao kwa kuwa vurugu hizi ndio kuimarika kwa CCM??? Nini kinachowauma hapa CCM???
 
Kazi ipo eti unajivunia elimu uliyonayo sasa si ujivunie na unafiki wako unaokuzalilisha kila kona kwa sasa?
 
Zitto ni jiwe lililowashinda washi. Kaskazini yote makamanda mmeungana kumshambulia kwa chuki zenu za kikanda, kidini na kikabila. Ila huwa siku zote haki ya mtu haipotei hata ikiwa mission atashindwa kuikamilisha wapo kina Zito wengine watazaliwa na watapigania kuisimamisha haki na kuondoa dhulma chadema mnayofanya. Ni ishu ya muda tu.
 
CCM Mbona mnalia sana Zitto abakie Chadema, kwani nyie hamumuhitaji?
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom