Mahesabu ya teja.

hivi ukiunganisha vichungi unapata sigara? paper imechakachuliwa swali sio lenyewe.
Mkuu,ndo yale yale,unaulizwa;utamwingizaje tembo ndani ya friji?Unajibu haiwezekani!hujaulizwa kuhusu uwezekano,umeulizwa jinsi ya kumuingiza tembo ndani ya friji.Kuhusu teja amewezaje kuunda sigara moja kwa kutumia vishungi sita,haituhusu,tulijibu swali kama lilivyo!
 
Vishungi 36 vinaunda sigara 6 b'coz kwa kila vishungi 6 anafanya ujanja anaoujua yeye,anapata sigara moja(1) kamili.Akisha 'smoke' zile sigara sita(6),atabaki na vipande/vishungi sita(6).Atavitumia pia hivi vishungi sita(6) kuunda sigara ya 7.Kwa hiyo jumla ya sigara atakazovuta ni 7.
 
!????????? 2kupe mji ama ulete swali lingine more logical...
 
Angekuwa na akili timamu angeweza kutengeneza sigara 6, kwa kuwa ni teja atatengeneza sigara moja kubwa yenye quantity ya sigara 6 za kawaida ....so alivuta sigara moja..
 
Back
Top Bottom